Dola Iddy Wa Chelsea
JF-Expert Member
- Sep 26, 2014
- 2,125
- 1,535
Mimi kwa kweli kazi yangu ni boda boda yaani ukikanyaga tu ushirombo mjini huku mkoani Geita ukiuliza Big yuko wapi hakuna asienijua.
Tuachane na hayo nattoa visa vi 5 tu vilivyonifanya nisiwe na imani na mwanamke,
1 MY WIFE katika maisha yake nilijitolea kumsaidia ila kimbembe kilianza alipotoroka na kwebda nasumbwe nikapoteza muda na pesa kumtafuta nikampata na baada ya kumpata tulisumu katika ndoa miezi 9 tu akatoroka tena bila sababu ya msingi anyway nishsmsahau niiahie hapa kwa no 1.
2 Ninapopaki pikipiki i mean kijiweni kuna mzee anamiliki bar kuns siku kaniambia mchukue huyu mmama 30s yrs mpeleke kwake halatu ukirudi uje uchukue hela kwangu
Basi bana kwani hata kwa huyo nmama nikifika!!!
Kufika maeneo ya halmashauri akapigiwa simu na jamaa flani ni mchimbaji akaniambia nisimwambie yule mzee
Dah hapo ndi nikaanini mapenzi sio pesa na mpaka leo mzee wa watu hajui lolote , very sad...
3 MKE WA DEREVA WA SEMI huyu bi mdada bana yaani mumewe kamweka ndani nyumbs safi ila ayatendayo mkewe huku nayajua mimi na mkewe tu tull kudanga full kuponbeshwa na kuliwa kama sio mke wa mtu vile dahhh....
4 MMAMA MWARABU huyu bana ni nmama kabisa 40s yrs nilipi mbeba mara ya kwanza akaniambia nimpeleke HM G HOUSE mama wee kabla hajaingia ndani akapigiwa simu na mwabaume mwingine matusi aliyotoa yule nmana sikutegemea
Nanukuu "fa?a msen== wewe mi ndo naenda kuti##@ sina nuda na wewe" Duhhh mpaka leo siamini kama kuna mwanamke asie cheat
Never hayupo
5 JASMIN huyu mdada ni mgeni humu town katokea TABORA ni mdabgaji hatari ipo hivi alinichukua nimpeleke DM akaenda kuliwa after 2 hours akarudi tena vatcan tunapopaki pikupiki after few minutes akaniambia nimpeleke wadutya nikampeleka na kumuacha nuko mida kama ya saa 9 (tisa) usiku akaniambia nimsindikize kwake mabenga b g house anapikaa nikaona sio mbaya kwa vile ni kama mita 600 nikampeleka ile tunafika namwambiia shuka hataki aka an a kuniambia big nakupenda mi nikajiwazia tu huyu mdada anadhani mimi ni nyanya eene wakuchotwa akili kipuuzi puuzi tu,
Sikutaka achukie nikamjibi poa nimekuelewa tutaongea kesho akaahuka japo kideko mahaba na kishingo upande mi nikawaaha CHUMA nikatembea huyooo.
MDADA WA KUNISHAWISHI KUMUAMINI LABDA ASHUSHWE TOKA MBINGUNI
NI HIVYO YAANI!!!
Sent using Jamii Forums mobile app