Zali la mentali

Brainwave

Member
Aug 6, 2019
11
19
Salaam wanajamvi,

Baada ya kuwa mpenzi mtazamaji kwa muda mrefu hapa jukwaani, basi hii scenario imenifanya nivunje ukimya. Nimekuwa nikitamani sana kuchangia lakini nadhani kuandika siyo kipaji changu.

Jana tarehe 11-01-2020 ambayo ilikuwa ni siku ya Jumamosi nilitoka na kwenda ku-refresh maeneo fulani ambayo ni beach moja iliyopo hapa mjini kwenye hili jiji la Dar.

Kama ilivo kawaida yangu kila ifikapo weekend baada ya majukumu na mitikasi ya wiki nzima huwa napenda kujipa mapumziko ya akili.

Basi ndugu zanguni nikiwa huko beach kwa kweli nilifurahia sana uwepo wangu maeneo hayo kwa maana kile nilichokifata ambacho ni mind relaxation nilikipata kwa 95%. Sasa kama tunavyojua maeneo kama hayo huwa yana vimbwanga vyake, hasa kwa wale wazee wa fursa kama Zero IQ.

Nikiwa nimekaa zangu pembezoni mwa bahari huku nikiperuzi JF, macho hayana pazia ghafla niliwaona wadada wawili wazuri pamoja na jamaa mmoja wakipiga picha. Aisee! Wale wadada ni wazuri kiasi kwamba they drew all my attention nikabaki tu nawashangaa.

Zoezi la kuwashangaa liliendelea kwa dakika kadhaa na taratibu akili na moyo wangu vyote kwa pamoja vikawa vinafanya upembuzi yakinifu juu ya hao wadada.

Basi mimi pia kama walivyo binadamu wengine, nina moyo wenye nyama na hisia, nilijikuta naanza kumkubali dada mmoja kati ya wale, nikatamani kum-face ili angalau nimsalimie, lakini changamoto ni kwamba yupo jamaa ambaye kwa wakati ule sikuweza kutambua ni nani yake.

Nikiwa katika tafakuri nzito ya nini nifanye atleast nipate wasaa wa kuzngumza au kwa namna yoyote ile nimsalimie yule dada aliyeumbika basi naye alikuwa akiangaza angaza macho huku na kule, Mungu si Athuman tuligonganisha macho na yule dada na sikupoteza hata sekunde moja nilimpungia mkono huku nikionesha tabasamu la bashasha.

Yule dada ali-smile na kidogo ikanipa moyo kwamba Mungu anaweza kufanya wepesi nikapata hiyo fursa ya kuongea naye. Lile smile lake kwa kweli ndiyo lilinimaliza kabisa nikasema kwa namna yoyote ile lazima nifanye kitu.

Nilifikiria mambo kadhaa ya kufanya:

1. Kumfuata pale pamoja na wenzake nimsalimie. Hii ikawa ngumu kwa sababu ndani ya ule mda mfupi niliokuwa nawaangalia niligundua yule jamaa atakuwa ni mpenzi wake au either mume wake kwa jinsi alivokua akijimwambafy sana kwa kum-kiss, na mibambio ya hapa na pale.

2. Kwa sababu napenda kusoma vitabu basi nikakumbka kuna novel moja nilikuwa nimetembea nayo. Nilichana karatasi kipande kidogo kwenye kile kitabu kisha nikaandika namba zangu za simu.

Baada ya kuwa nimeandika namba za simu nilisogea karibu kabisa na eneo ambalo wao walikuwa wamesimama na kwasababu watu walikuwa ni wengi kiasi fulani yule jamaa pamoja na yule dada mwingine hawakuelewa chochote lakini yule aliekuwa target yangu alinielewa na akawa anacheka, nilikaa pale kwa dakika kama tano nia na madhumuni nipate nafasi either ya kumpa hicho kikaratasi au nikiache pale nilipokuwa nimekaa ili kama akiniona na kama ingempendeza basi akiokote lakini nilishindwa kwa sababu yule mwamba aliwaganda sana.

Lakini katika kusikiliza maongezi yao niligundua yule aliyekuwa akinikosha nafsi yangu ni mpenzi wake na yule mwingine ni mdogo wake wa damu kabisa. Huyu jamaa ana bahati sana, ana dada mzuri lakini pia demu mkali.

Nikiwa naelekea kabisa kukata tamaa nilipata wazo ambalo lilikuwa ni kwenda sehemu ambayo yule dada ataniona then niandike zile namba kwenye mchanga, mara moja nikanyanyuka nikaelekea sehemu nikawa najifanya kuchora huku macho yangu yakiibia ibia kuona kama yule dada alikuwa akiniangalia.

Niligundua pia alikuwa akinitazama kiwiziwizi ili jamaa asigundue. Basi niliandika zile namba pale kisha nikatoka lile eneo then nikaanza kumuonesha ishara aende pale, hakuna alichokifanya zaidi ya kutabasamu. Ile vibe ambayo dada alikuwa nayo kwa bwana ake kabla sijaanza kumfanyia maigizo ilipungua sana na ikapelekea jamaa kugundua, Nilisikia akimuuliza maswali kadhaa kama "Si unanipenda lakini? Basi niambie shida nini?" Ali-smile tu na kumjibu "Niko sawa"

Baada ya dakika tano waliondoka na wakapita karibu kabisa na lile eneo na nilimuona yule dada ameganda pale kwa sekunde kadhaa huku akiwa busy na simu ila nikahisi alikuwa akijibu text. Basi baada ya kuwa wameondoka kiasi cha kutoonekana machoni mwangu, nikasikitika na kusononeka sana baada ya juhudi zangu zote kugonga mwamba.

Leo sa nne na dakika 45 asubuhi mara nikaona text inaingia kwenye simu yangu, kufungua ni namba mpya, na text ipo hivi:

"Hello it's me Glory. Nilipiga picha pale ulipoandika namba zako jana. I liked your confidence"

Mpaka muda huu ni kama nimemwagiwa maji ya baridi; nimepooza bila kujua nini nifanye kwa kuwa sikulitegemea hili.

We dada kama upo hapa JF, samahani sana umezigusa hisia zangu, nisingeweza kukaa na hiki kitu.

Niwatakie Jumapili njema. Nitarudi hapa baada ya wiki moja kuwaeleza wapi nitakuwa nimefikia na huyu binti mrembo alieugusa moyo wangu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Basi ndugu zanguni nikiwa huko beach kwa kweli nilifurahia sana uwepo wangu maeneo hayo kwa maana kile nilichokifata ambacho ni mind relaxation nilikipata kwa 95%. Sasa kama tunavojua maeneo kama hayo huwa yana vimbwanga vyake hasa kwa wale wazee wa fursa kama Zero IQ.

Nikiwa nimekaa zangu pembezoni mwa bahari huku nikiperuzi JF, macho hayana pazia ghafla niliwaona wadada wawili wazuri pamoja na jamaa mmoja wakipiga picha. Aisee! Wale wadada ni wazuri kiasi kwamba they drawn all my attention nikabaki tu nawashangaa. Zoezi la kuwashangaa liliendelea kwa dakika kadhaa na taratibu akili na moyo wangu vyote kwa pamoja vikawa vinafanya upembuzi yakinifu juu ya hao wadada.

Basi mimi pia kama walivyo binadamu wengine, nina moyo wenye nyama na hisia, nilijikuta naanza kumkubali dada mmoja kati ya wale, nikatamani kum-face ili angalau nimsalimie, lakini changamoto ni kwamba yupo jamaa ambaye kwa wakati ule sikuweza kutambua ni nani yake.

Nikiwa katika tafakuri nzito ya nini nifanye atleast nipate wasaa wakuzngumza au kwa namna yoyote ile nimsalimie yule dada aliyeumbika basi naye alikua akiangaza angaza macho huku na kule, Mungu si Athuman tuligonganisha macho na yule dada na sikupoteza ata sekunde moja nilimpungia mkono huku nikionesha tabasamu la bashasha. Yule dada alismile na kidogo ikanipa moyo kwamba mungu anaeza kufanya wepesi nikapata hiyo fursa ya kuongea nae. Lile smile lake kwa kweli ndo lilinimaliza kabisa nikasema kwa namna yyte ile lazima nifanye kitu.
Nilifikiria mambo kadhaa ya kufanya
1. Kumfata pale pamoja na wenzake nimsalimie, Hii ikawa ngumu kwa sababu ndani ya ule mda mfupi niliokua nawaangalia niligundua yule jamaa atakua ni mpenzi wake au either mme wake kwa jinsi alivokua akijimwambafy sana kwa kumkiss, na mibambio ya hapa na pale.
2. Kwa sababu napenda kusoma vitabu basi nikakumbka kuna novel moja nilikua nimetembea nayo, Nilichana karatasi kipande kidogo kwenye kile kitabu kisha nikaandika namba zangu za simu.

Baada ya kuwa nimeandka namba za simu nilisogea karibu kabisa na eneo ambalo wao walikuwa wamesimama na kwa sababu watu walikua ni wengi kiasi fulani yule jamaa pamoja na yule dada mwingine hawakuelewa chochote lakini yule aliekuwa target yangu alinielewa na akawa anacheka, nilikaa pale kwa dakika kama tano nia na madhumuni nipate nafasi either ya kumpa hicho kikaratasi au nikiache pale nilipokua nimekaa ili kama akiniona na kama ingempendeza basi akiokote lakini nilishindwa kwa sababu yule mwamba aliwaganda sana. Lakini katika kusikiliza maongezi yao niligundua yule aliyekuwa akinikosha nafsi yangu ni mpenzi wake na yule mwingne ni mdogo wake wa damu kabisa. Huyu jamaa ana bahati sana ana dada mzuri lakini pia demu mkali.

Nikiwa Naelekea kabisa kukata tamaa nilipata wazo ambalo lilikuwa ni kwenda sehemu ambayo yule dada ataniona then niandike zile namba kwenye mchanga, mara moja nikanyanyuka nikaelekea sehemu nikawa najifanya kuchora huku macho yangu yakiibia ibia kuona kama yule dada alikuwa akiniangalia , Niligundua pia alikuwa akinitazama kiwiziwizi ili jamaa asigundue. Basi niliandika zile namba pale kisha nikatoka lile eneo then nikaanza kumuonesha ishara aende pale, hakuna alichokifanya zaidi ya kutabasamu. Ile vibe ambayo dada alikua nayo kwa bwana ake kabla sijaanza kumfanyia maigizo ilipungua sana na ikapelekea jamaa kugundua, Nilisikia akimuuliza maswali kadhaa kama "Si Unanipenda lakini basi niambie shida nn?" Alismile tu na kumjibu niko sawa"

Baada ya dakika tano waliondoka na wakapita karibu kabisa na lile eneo na nilimuona yule dada ameganda pale kwa sekunde kadhaa huku akiwa busy na simu ila nikahic alikua akijibu txt basi baada ya kuwa wameondoka kiasi cha kutoonekana machoni mwangu nikasikitika na kusononeka sana baada ya juhudi zangu zote kugonga mwamba.

Leo sa nne na dkk 45 asubuhi mara nikaona txt inaingia kwenye simu yangu kufungua ni namba mpya na txt iko hivi "Hello it's me glory nilipiga picha pale ulipoandika namba zako jana. I liked your confidence"

Mpk mda huu ni kama nimemwagiwa maji ya baridi nimepooza bila kujua nn nifanye kwa kuwa sikulitegemea hili.

We dada kama upo hapa JF samahani sana umezigusa hisia zangu nisingeweza kukaa na hichi kitu.

Niwatakie Jumapili njema nitarudi hapa baada ya wiki moja kuwaeleza wapi nitakua nimefikia na huyu binti mrembo alieugusa moyo wangu.

Sent using Jamii Forums mobile app
kuwa makini mkuu umesema huyo dem alikuwa na njemba sasa kuwa attention mafuta yasikuhusu
 
Kweli uoga utakuja kukosa bahati hivi hivi. Mimi ningemfata pale pale nimchane nimwambie ukweli. Hata angenichana kuwa huyo jamaa alie nae ndio mtu wake ningemwambia.

"Achana nae bwege huyu hakupendi kama nnavyokupenda mimi".

Kwa style hiyo tayari ungeshaopoa manzi saa mingi. Ndio michezo yangu hiyo huwa siogopi kitu maana maisha yenyewe ndio haya haya.
 
Uzuri we mwenyewe ulisha muona huyo mwenye mali hivyo utajitahidi kutembea na tult tumafuta twa kulainisha sehem. Ushauri; Usikubali kwenda kwao hata akikuambia kuwa jamaa kasafiri. Mlete gheto kwako
 
Salaam wanajamvi,

Baada ya kuwa mpenzi mtazamaji kwa muda mrefu hapa jukwaani, basi hii scenario imenifanya nivunje ukimya. Nimekuwa nikitamani sana kuchangia lakini nadhani kuandika siyo kipaji changu.

Jana tarehe 11-01-2020 ambayo ilikuwa ni siku ya Jumamosi nilitoka na kwenda ku-refresh maeneo fulani ambayo ni beach moja iliyopo hapa mjini kwenye hili jiji la Dar.

Kama ilivo kawaida yangu kila ifikapo weekend baada ya majukumu na mitikasi ya wiki nzima huwa napenda kujipa mapumziko ya akili.

Basi ndugu zanguni nikiwa huko beach kwa kweli nilifurahia sana uwepo wangu maeneo hayo kwa maana kile nilichokifata ambacho ni mind relaxation nilikipata kwa 95%. Sasa kama tunavyojua maeneo kama hayo huwa yana vimbwanga vyake, hasa kwa wale wazee wa fursa kama Zero IQ.

Nikiwa nimekaa zangu pembezoni mwa bahari huku nikiperuzi JF, macho hayana pazia ghafla niliwaona wadada wawili wazuri pamoja na jamaa mmoja wakipiga picha. Aisee! Wale wadada ni wazuri kiasi kwamba they drew all my attention nikabaki tu nawashangaa.

Zoezi la kuwashangaa liliendelea kwa dakika kadhaa na taratibu akili na moyo wangu vyote kwa pamoja vikawa vinafanya upembuzi yakinifu juu ya hao wadada.

Basi mimi pia kama walivyo binadamu wengine, nina moyo wenye nyama na hisia, nilijikuta naanza kumkubali dada mmoja kati ya wale, nikatamani kum-face ili angalau nimsalimie, lakini changamoto ni kwamba yupo jamaa ambaye kwa wakati ule sikuweza kutambua ni nani yake.

Nikiwa katika tafakuri nzito ya nini nifanye atleast nipate wasaa wa kuzngumza au kwa namna yoyote ile nimsalimie yule dada aliyeumbika basi naye alikuwa akiangaza angaza macho huku na kule, Mungu si Athuman tuligonganisha macho na yule dada na sikupoteza hata sekunde moja nilimpungia mkono huku nikionesha tabasamu la bashasha.

Yule dada ali-smile na kidogo ikanipa moyo kwamba Mungu anaweza kufanya wepesi nikapata hiyo fursa ya kuongea naye. Lile smile lake kwa kweli ndiyo lilinimaliza kabisa nikasema kwa namna yoyote ile lazima nifanye kitu.

Nilifikiria mambo kadhaa ya kufanya:

1. Kumfuata pale pamoja na wenzake nimsalimie. Hii ikawa ngumu kwa sababu ndani ya ule mda mfupi niliokuwa nawaangalia niligundua yule jamaa atakuwa ni mpenzi wake au either mume wake kwa jinsi alivokua akijimwambafy sana kwa kum-kiss, na mibambio ya hapa na pale.

2. Kwa sababu napenda kusoma vitabu basi nikakumbka kuna novel moja nilikuwa nimetembea nayo. Nilichana karatasi kipande kidogo kwenye kile kitabu kisha nikaandika namba zangu za simu.

Baada ya kuwa nimeandika namba za simu nilisogea karibu kabisa na eneo ambalo wao walikuwa wamesimama na kwasababu watu walikuwa ni wengi kiasi fulani yule jamaa pamoja na yule dada mwingine hawakuelewa chochote lakini yule aliekuwa target yangu alinielewa na akawa anacheka, nilikaa pale kwa dakika kama tano nia na madhumuni nipate nafasi either ya kumpa hicho kikaratasi au nikiache pale nilipokuwa nimekaa ili kama akiniona na kama ingempendeza basi akiokote lakini nilishindwa kwa sababu yule mwamba aliwaganda sana.

Lakini katika kusikiliza maongezi yao niligundua yule aliyekuwa akinikosha nafsi yangu ni mpenzi wake na yule mwingine ni mdogo wake wa damu kabisa. Huyu jamaa ana bahati sana, ana dada mzuri lakini pia demu mkali.

Nikiwa naelekea kabisa kukata tamaa nilipata wazo ambalo lilikuwa ni kwenda sehemu ambayo yule dada ataniona then niandike zile namba kwenye mchanga, mara moja nikanyanyuka nikaelekea sehemu nikawa najifanya kuchora huku macho yangu yakiibia ibia kuona kama yule dada alikuwa akiniangalia.

Niligundua pia alikuwa akinitazama kiwiziwizi ili jamaa asigundue. Basi niliandika zile namba pale kisha nikatoka lile eneo then nikaanza kumuonesha ishara aende pale, hakuna alichokifanya zaidi ya kutabasamu. Ile vibe ambayo dada alikuwa nayo kwa bwana ake kabla sijaanza kumfanyia maigizo ilipungua sana na ikapelekea jamaa kugundua, Nilisikia akimuuliza maswali kadhaa kama "Si unanipenda lakini? Basi niambie shida nini?" Ali-smile tu na kumjibu "Niko sawa"

Baada ya dakika tano waliondoka na wakapita karibu kabisa na lile eneo na nilimuona yule dada ameganda pale kwa sekunde kadhaa huku akiwa busy na simu ila nikahisi alikuwa akijibu text. Basi baada ya kuwa wameondoka kiasi cha kutoonekana machoni mwangu, nikasikitika na kusononeka sana baada ya juhudi zangu zote kugonga mwamba.

Leo sa nne na dakika 45 asubuhi mara nikaona text inaingia kwenye simu yangu, kufungua ni namba mpya, na text ipo hivi:

"Hello it's me Glory. Nilipiga picha pale ulipoandika namba zako jana. I liked your confidence"

Mpaka muda huu ni kama nimemwagiwa maji ya baridi; nimepooza bila kujua nini nifanye kwa kuwa sikulitegemea hili.

We dada kama upo hapa JF, samahani sana umezigusa hisia zangu, nisingeweza kukaa na hiki kitu.

Niwatakie Jumapili njema. Nitarudi hapa baada ya wiki moja kuwaeleza wapi nitakuwa nimefikia na huyu binti mrembo alieugusa moyo wangu.

Sent using Jamii Forums mobile app

USITUANGUSHE TU...…..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom