Natamani kumpiga Mjamzito, naona kama anaanza kunidharau

switch Off

Member
Oct 30, 2019
48
186
Huyu ni mwanamke ninae ishi nae ana ujauzito wa miezi 5 nimeanza kuishi naye baada ya yeye kuwa na hiyo mimba. Amekua akinikorofisha mara nyingi sana Mimi nimekuwa mpole na nimekuwa nikipotezea ili mambo yaishe tuu.

Sasa naona kama ameanza kuzidisha yaani naona kabisa anavuka mipaka. Jana nimerudi nyumbani usiku wa saa 4 na dakika zake. Chaajabu nimerudi nyumbani nimekuta huyu mwanamke hajapika chakula, namuuliza kwanini nashangaa anaanza kuwa mkali eti nilijisahau ngoja nikupikie ugali haraka haraka. Nikamuuliza ulikuwa unafanya nini hapa nyumbani mpaka umeshindwa kupika, akaanza kuwa mkali sana. Nikaona isiwe kesi nikaoga zangu kisha nikaingia ndani kulala.

Nimeandika kiufupi sana ila huyu mwanamke anafanya mambo mengi sana ya ajabu ajabu ambayo sina uhakika kama mimba ndio sababu kuu, nataka nimtembezee kichapo sasa.

Nauliza wadau nikimpiga kichapo kitakatifu. Je, kuna madhara yoyote ambayo anaweza kuyapata mtoto wa tumboni. Kama kuna mtu ambaye alishawahi kumpiga Mjamzito aje aniambie kwake baada ya kumpiga Huyo Mjamzito nini kilitokea.
 
Mara nyingi ukidharauliwa tatizo linakuwa kwako pia, unastahili kudharauliwa hivyo kutumia nguvu hakutakusaisia, jitathmini kwanza kwa nini unadharauliwa.
 
switch Off,
Hahaha.
Mwanangu mimi ishawahi kutumwa kwenda kununua miwa usiku.
Nishatumwa subway kununua chicken tikka usiku.
Nishawahi kutumwa kwa wajapani kununua sushi usiku.
Nishawahi kwenda kununulishwa chips za mpemba gani sijui usiku.
Nishawahi kwenda kununulishwa miguu ya kuku kigogo njia panda.
Usimpigw mjamzito.
Wewe hilo balaa ni la kwako vumilia.

Kiufupi kama huwezi kupika jifunze kupika.

Kwa sababu mimba zinawafanya wawe na maruwe tuwe sana tena huyo wa kwako naona sio mkorofi.
 
Jitahid kuwa mjinga kiaina tuu yaishe hayo
Lah sivyo unatafuta kesi ya mauaji.
Mm wangu hakuwah kuwa na tabia za ajab ajab had namshukuru Mungu.
Sema hawa viumbe nadhan mda mwingine wanafanya makusudi.
Japo n kwel wakat wa mimba huwa hawako kama walivo wasipo kuwa na mimba.
 
Jitahid kuwa mjinga kiaina tuu yaishe hayo
Lah sivyo unatafuta kesi ya mauaji.
Mm wangu hakuwah kuwa na tabia za ajab ajab had namshukuru Mungu.
Sema hawa viumbe nadhan mda mwingine wanafanya makusudi.
Japo n kwel wakat wa mimba huwa hawako kama walivo wasipo kuwa na mimba.
Sawa mkuu
 
Mkuu wewe ni jinga kweli kweli wa kiwango cha PhD.Hata kama asingekuwa na mimba unaruhusiwa kumpiga kwa Sheria za nchi yetu?

Inaonekana wewe ni dereva wa malori, mnaokotaga wanawake kila senta mnapopumzika kabla ya kuendelea na safari ya mikoani au nje ya nchi.

Vumilia tu,ulipiga ukaweka mimba, naye amehamishia kapu la nguo kwako.

Eti umpige,wakati mnabong'oa kupeana mimba uliuliza humu jamvini?

Maswali ya kijinga sana haya.

Ni vyema uelewe psychology yao wanapokuwa na mimba wanakuwaje kitabia?Kwani wanatofautiana sana kitabia wanapokuwa katika hali hiyo.

Tusipotoshane hapa,kawaulize waendeshaji wenzako wa malori HOWO/ACTROS.

Hahahahaha switch Off
 
Nakushauri usimpige jitaidi sana wakati huu mfupi wa ujauzito uwe mpole kabisa na ujitaidi kuzungumza nae kipole sana yani kama hujui kubembeleza inabidi ujifunze na kama unajiweza kiasi jitaidi kila mala urudipo nyumbani mbebee zawadi yoyote mfano chakula akipendacho kama mishikaki, soda ama juis, nguo za ujauzito, rosheni etc.

Kama huna sababu maalumu ya kukawiza kurudi nyumbani jitaidi kukaa nyumbani baada ya kazi usaidiane nae kazi za nyumbani japo mala moja kwa wiki pikeni pamoja sio kitu kibaya.

Ukikuta hajapika muulize kipole sana ikibidi huko unakotoka usiku uwe unakula hukohuko ili home kwako ukikuta hajapika unalala tu.

Kuna wanawake wana viburi toka wakiwa makwao huko kwahyo inabidi uende nae taratibu sana maana unaweza hata kumfinya tu yeye akajitupa sakafuni tena anatanguliza tumbo chini ili aumie yeye na mtoto na hapo ndio utawaona ndugu zake na serikali. Halafu kitu kingine unapompiga mkeo lazima utajisika vibaya sana na kujutia kitendo chako hata kama ni kweli alikua amekukosea na utapata mzgo wa kuanza kumbembeleza atulie

Fikilia sasa umerudi saa4 hajapika ukampiga badae ukaanza kumbembeleza atulie hadi inafika saa 8 ndo mnalala, kesho yake uamke saa12 kwenda kazini daah mbona upotezaji wa muda huo wa kuuchapa usingizi halafu nikwambie kingine ukimpiga mkeo usiku kama n mtu wa hasira sana anaweza kukuvizia ukiwa umesinzia akakupiga hata kisu cha kifuani.

Ukishindwa hayo hapo juu basi LA mwisho na lenye nguvu ambalo mim mwenyewe nalitumiaga sana ni KUMPUUZIA TU na kutokumjali kwa lolote atakalofanya asipopika nakula hotelin ama nampa jirani hela akahemee apike tunakula wrote, asipofua nampa buku5 jirani anafua, mbona ataanza kujishtukia utasikia anaakuuliza ina maana hunioni hadi unamtuma flani???
 
Back
Top Bottom