Nifanyaje ili kulitunza penzi letu

Mapenzi ya mbali ni silaha hatari sana ya kuangamiza mahusiano... Mmojawapo akianguka tu na akashindwa kusimama tena akashikwa akashikika... Kifuatacho ni maumivu makali sana
Mawazo yenu yamhim sana jamni wanajukwaa.
Mpenzi wangu yupo mbali na mm sasa kitugani inatakiwa tukifanye ili penzi letu lizidi kunawiri?

Sent using Jamii Forums mobile app

Jr
 
Hakikisha unaepuka kila sababu ya kukerana.

Hakikisha haipiti miezi miwili mnakutana kwa sababu mwanamke ana zile siku zake hatari,so kama hajatulia mtihani.

Hakikisha kils siku unaongea nae kwa dakika zisizopungua 15 walau.

Hakikisha wewe huchepuki mana ukichepuka hakuna maana ya kulinda penzi.

Hakikisha mnakuwa karibu na dini yenu ambayo inakataza uzinzi.

Asnteee kwa ushauri wako nadhani tukifata haya penzi letu litafika mbali

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mawazo yenu yamhim sana jamni wanajukwaa.
Mpenzi wangu yupo mbali na mm sasa kitugani inatakiwa tukifanye ili penzi letu lizidi kunawiri?

Sent using Jamii Forums mobile app
Fimbo ya mbali haiui nyoka, utachepuka tu na yeye atachepuka tu na kuanzisha mapenzi mapya. Yeyote kati yenu akikolea kwenye penzi jipya visingizio vitaanza niko bize, sijapewa ruhusa sina hela n.k
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom