Mwenzenu nimuanza mwaka 2020 vibaya sana

Mwenzenu nimuanza mwaka 2020 vibaya sana

Redpanther

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2019
Posts
3,041
Reaction score
4,297
Habari gani rafiki na wanajamvi wenzangu. Mimi ni kijana mwenye miaka 28 kwa sasa. Nilioa ila tuliachana na mke wangu mwaka jana, kwahiyo kwa sasa nipo single kabisa (sio kwa sababu za kijinga kijinga[emoji16]).
Baada ya kuachana na mke wangu mwezi wa saba, nimepitia wakati mgumu sana kuzoea kulala na kuwa pekee yangu ili hali nilizoea kuwa na mwenzangu kiukweli ulikuwa wakati mgumu ila kwa fadhira za Mwenyezi Mungu hatimaye kufika mwezi wa 11 hivi iliisha ile japo sio kwamba imeisha kabisa inakuwepo nyakati fulani fulani.

Mwezi wa November na October yangu imekuwa si nzuri naweza kusema hivyo. Mwezi huu, kwa sababu ya mawazo na upweke ulionikamata kwa takribani miezi mitatu niliamua kutafuta mpenzi au msichana ambaye nitakuwa naye kwa mahusiano ili awe mtu ambaye kwa namna moja ama nyingine nipunguze mawazo kwa kuwa na huyu mwenzi.

Nilipata mdada tukawa tunashiriki ngono na tukawa wapenzi, binafs nikiri kuwa nilikuwa nafanya naye bila kinga [emoji41]. Sasa siku moja, wakati anakuja ghetto kwangu alidai amemiss dyudyu [emoji533] namimi nikamwambia njoo anakaja ghetto. Wakati napiga mzigo nimepiga kile cha kwanza, ile wazungu wananitoka manzi akaniambia umemwagia ndani (kwa hali ya mshangao[emoji16][emoji16]) nikamwambia ndiyooo. Duuh akasema jamni jamani nipo siku za hatari(fertile phase). Nilimuuliza kwanini hukusema kama upo siku za hatari akasema eti yeyealijua nitamwaga nje 🤮🤮. Nikamwambia usijali kuna P2 ngoja nikachukue utumie akasema haya. Nilipoenda kuinunua akakataa kuinywa eti anaogopa itamsababishia saratani. Nikamwambia mie sihitaji mtoto, akasema atalea nikasema okay.! Basi [emoji1476].
Yule nilichukia kile kitendo alichonifanyia nikamwambia mie sina mpango wa kuoa wala kuwa mtoto kwa wakati huo. Kiukweli nikapiga chini, baadae nikamwambia nitakea mtoto ila sina mpango wa kuoa wala kuwa kwenye mahusiano serious na mtu maana bado sipo sawa kiakili.
Baadae nikapata demu, huyu demu kidg akili ilinikaa sikuthubutu udhembe utokee. Show zangu zilikuwa fresh tu mpaka yule demu alikuwa anasafatiri kutoka huko anakokaa siku za weekend kwa gharama zake kuja kwangu yaani kamisi dyudyu [emoji533]. So imeenda hivyo lakinj naye huyu akaanza habari za ajabu ajabu sijui kuoana nikamwambia sina huo mpango akasema hawezi akajichenga.
Mwishoni mwezi wa 12 nikapata demu, huyu nilimpenda sana na pia niliona kama tunaendana maana naye hana mpango wa kuoana mapema na ananielewa.

Sasa shida inakuja, huyu demu nimekutana naye kimwili kama mara nne, mara kwanza show ilikuwa mbovu nikashindwa kujua nini sababu nikajipa tumaini labda kwa sababu nilimpania lakini mara pili kidg nafuu demu aka kojoa ya tatu na ya nne show zimekuwa mbovu sana mpaka mwenyewe nashindwa kuelewa nini sababu nipo hivyo. Yaanq kama karanga nilikula sana, mbegu za maboga nimekula kabla ya show lakini shughuli mbovu tu[emoji18][emoji18][emoji18].
Awali kwangu nilikuwaga nikitumiq karanga tu, show yangu ilikuwaga si chini ya dakika 30 kwa round na mademu zangu waliopita walinielewa kwa hilo maana hata [emoji533] nalo sio haba.
Sasa hapa nashindwa kujua nini tatizo hadi nguvu zangu za kiume zimepotea sana siku hizi hasa hasa mwezi huu. [emoji18][emoji18][emoji18]
Hakuna fedheha kama kuwa na demu, yeye anasema hajatosheka lakini dudu halisimami kabisa na ikisimama ni dakika 3 au 5 tayari wazungu haooooo. Yaani najisikia vibaya sana kiukweli [emoji24][emoji24][emoji24]. Hebu nisaidie wanaume wenzangu nifanyeje hapo aseee [emoji18]


Sad dude [emoji67]‍[emoji538]
 
Ok sawa Choma diclofenac kama Huyo ng'ombe utapona mapema tuu
tapatalk_1579361798462.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haujawa vizuri psychologically.
Mawazo yaliyokutesa kutokana na kuachana na mkeo ndiyo sasa yanauathiri ubongo na akili zako.

Ulimpenda zaidi mkeo. Na hukujipa muda wa kuipumzisha akili yako.

Sent using Jamii Forums mobile app

Labda ni hivyo, lakini mbona sina mawasiliano naye huyu mwanadada.


Happy dude [emoji67]‍[emoji538]
 
Miezi mitatu sidhani kama inatosha. na hunajipa muda umekua ukivua samaki kila mwezi.

Happy dude wakati umeuanza mwaka vibaya [emoji849]. Go back to your wife

Sent using Jamii Forums mobile app

Sidhani kama naweza kurudi kwake tena, nitazoea na maisha yasonga mbele. She was cute ila kuna mambo siwezi kukaa nikavumilia, nitazoea dada yangu. Kikubwa tuombeane tu. Natamani kuwa na mtu ambaye ataziba nafasi yake yule mtu lakini bado najikuta nakutana na vibaka na Wanawake mavampire wala damu. Ila naamini kuna siku nitapata mke tena ambaye nitampenda nitamtunza na kumheshimu pia.


Happy dude [emoji67]‍[emoji538]
 
Sidhani kama naweza kurudi kwake tena, nitazoea na maisha yasonga mbele. She was cute ila kuna mambo siwezi kukaa nikavumilia, nitazoea dada yangu. Kikubwa tuombeane tu. Natamani kuwa na mtu ambaye ataziba nafasi yake yule mtu lakini bado najikuta nakutana na vibaka na Wanawake mavampire wala damu. Ila naamini kuna siku nitapata mke tena ambaye nitampenda nitamtunza na kumheshimu pia.


Happy dude [emoji67]‍[emoji538]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] mavampire wanywa damu. Unachokitafuta ndicho unachokipata.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom