frenderPH
JF-Expert Member
- Oct 30, 2019
- 622
- 822
Wadau wenzangu wa JamiiForums, habari za maisha!
Sasa wana JF nina tatizo na ninaomba msaada wenu maana nimeona kukaa nalo mwenyewe bila kupata utatuzi ni sawa na mficha magonjwa kifo humuumbua.
Basi nichukue nafasi kuwaomba mnipe ushauri nifanye nini ili nimrudishe Ex girlfriend wangu maana tumetengana kishingo upande lakini mimi bado ninampenda na nimetumia kila njia kumuomba radhi japokuwa sikumkosea anafanya kukataa maombi yangu kwamba yeye anataka tuwe marafiki.
Sasa hii hali inaniuma sana yani kutoka kuitwa baby mpaka friend. Naomba ushairi wenu nitumie njia gani anielewe maana ninampenda sana na ndiye niliyekuwa naye huyohuyo mmoja tu.[emoji26][emoji26]
Sent using Jamii Forums mobile app