Mwanamke akisema anampenda mwanaume ni unafiki, mwanamke anaheshimu tu

francis kibiki

JF-Expert Member
Jul 8, 2018
477
516
Kwenye mahusiano baina ya mwanamke na mwanaume wanaume mnapotoka sana ili neno la kusema "unapendwa" oooh sijui yule mwanamke anakupenda tangu lini mwanamke akakupenda wew mwanaume, mwanamke anaheshim tu.

Biblia takatifu yenyew imethibitisha ivo, mwanamke akikwambia anakupenda uyo ni mnafki, mwanaume ndo kaumbiwa kupenda. ova
 
Back
Top Bottom