Hivi wadada huko kwenye Kitchen party mnafuataga nini..?

AbuuMaryam

JF-Expert Member
Dec 26, 2015
2,536
4,513
Maana yale mnayoimbiwa na kuimbiwa kwenye vitchen party huwa yanaishia wapi...

Yaani mnayosomeshwa kwenye Vitchen party juu ya ndoa zenu ni tofauti kabisa...

Mnafundishwa kutupikia PILAU BIRIANI... LAKINI MNACHOKUJA KUTUPIKIA NI MCHELE ULIOCHEMSHWA KWA MAJI TU BILA MAFUTA...

HUKO KITCHEN HUWA MNAFUATA NINI...? VYOMBO NA VITENGE AMA...?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siwezi kuoa mwanamke ambaye sijakuwa naye geto nikajua anaweza ufundi wa mapishi kiasi gani!

Lazima awe mhudhuriaji wa geto na kupika. Siyo kuonana lodge na hotels tu eti nikuweke ndani; uje unipikie kama alivyopikiwa mtoa mada.

Pole brother.

Maneno wanayosema kwenye kitchen party au send off huwa hayawasaidii lolote.
Wanaofaidika na yale maneno ni wanaobaki.

Ng'ombe hanenepi siku ya mnada!

Akiwa hajui kupika ndio kwisha habari yake? Hauoi?.
 
Maana yale mnayoimbiwa na kuimbiwa kwenye vitchen party huwa yanaishia wapi...

Yaani mnayosomeshwa kwenye Vitchen party juu ya ndoa zenu ni tofauti kabisa...

Mnafundishwa kutupikia PILAU BIRIANI... LAKINI MNACHOKUJA KUTUPIKIA NI MCHELE ULIOCHEMSHWA KWA MAJI TU BILA MAFUTA...

HUKO KITCHEN HUWA MNAFUATA NINI...? VYOMBO NA VITENGE AMA...?

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe uliyajuaje wanayofundishwa kitcheni patini ?
 
ndo maana Mimi nilishaamua nitagharamikia ndoa itakuwa bab kubwa kama anavyotaka yeye tuuh sjui upuuzi wa kitchen party kule ambapo yanakutana makungwi ,mashoga, madada ya mjini ,malayas,atafute ela au kwao wagharamie
 
Kitchen party huwa ni upande wa Bibi harusi na send off as well vipi akitaka na bridal shower utamsupport ?

Back
Top Bottom