Mke akikuambia mbona mme wangu hujisugui vizuri ukienda kuoga?

AbuuMaryam

JF-Expert Member
Dec 26, 2015
2,537
4,517
Hivi iweke upande wako...

Mke akikuambia mbona mme wangu hujisugui vizuri. Na kukunanga kama mtoto mdogo. Hujisugui vizuri ukienda kuoga...

Wewe (Mume) unamjibu twende tukaoge wote ukanisugue vizuri unavyotaka.

Yeye akakujibu, "mimi sio house girl wako."

HIVI WEWE MWANAUME MWENZANGU UTAFANYAJE? JE WANAWAKE WENZIE NI SAWA HILI?
NIFANYAJE?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kuna wanawake wana majibu machafu sana kwa waume zao.....ndio tuvumiliane na kuchukuliana madhaifu yetu sio kila kitu lazima useme jamanii.vingine kaa kimya tu..sasa mtu hajisugui vizur inahusu nini..why usiingie nae bafuni kimahaba ukamsugua mmeo...yani miwanawake mingine ya hovyo sana kuongea ongea hovyo tu utumbo...
 
Mkuu, cha kufanya ukienda kuoga tena toka una mapovupovu ya sabuni mwilini. Akikuuliza mnona hivyo mwambie siwezi kuoga vizuri hadi twende wote tukaoge. Ukifanya hivi mfululizo ndani ya wiki mbili mbona utakuwa unamkuta bafuni kila wakati akikusubiri.
 
kuna wanawake wana majibu machafu sana kwa waume zao.....ndio tuvumiliane na kuchukuliana madhaifu yetu sio kila kitu lazima useme jamanii.vingine kaa kimya tu..sasa mtu hajisugui vizur inahusu nini..why usiingie nae bafuni kimahaba ukamsugua mmeo...yani miwanawake mingine ya hovyo sana kuongea ongea hovyo tu utumbo...
Taratibu mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app,using POP 2 power
 
Hivi iweke upande wako...

Mke akikuambia mbona mme wangu hujisugui vizuri... Na kukunanga kama mtoto mdogo... Hujisugui vizuri ukienda kuoga...

Wewe (Mume) unamjibu twende tukaoge wote ukanisugue vizuri unavyotaka...

Yeye akakujibu, "mimi sio house girl wako..."

HIVI WEWE MWANAUME MWENZANGU UTAFANYAJE...? JE WANAWAKE WENZIE NI SAWA HILI...?
NIFANYAJE...?

Sent using Jamii Forums mobile app
Unamchukua house girl, unaenda kuoga nae na kumwambia akusugue
 
Hivi iweke upande wako...

Mke akikuambia mbona mme wangu hujisugui vizuri... Na kukunanga kama mtoto mdogo... Hujisugui vizuri ukienda kuoga...

Wewe (Mume) unamjibu twende tukaoge wote ukanisugue vizuri unavyotaka...

Yeye akakujibu, "mimi sio house girl wako..."

HIVI WEWE MWANAUME MWENZANGU UTAFANYAJE...? JE WANAWAKE WENZIE NI SAWA HILI...?
NIFANYAJE...?

Sent using Jamii Forums mobile app
Muombe house girl wako akusugue uone.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom