Hili limekuwa zito sana kwangu. Najisikia guilty sana

Sodoku

JF-Expert Member
Feb 3, 2016
1,095
2,429
Miaka yote kazini nimekuwa nikikwepa sana mahusiano na wafanyakazi wenzangu kwa level zote.

Nimeanza pata changamoto kazini. Tuna Secretary mpya mwezi wa 8 huu. Huyu dada ni mzuri na pia smart. Anajiamini na ana nidhamu.

Nlimkataza asiniite Boss, aniite tu Kaka xxx au Mr. xxx. Sipendi kuita au kuitwa Boss. Nilisafiri week mbili sasa nimerudi ameonekana kufurahi sana. Maana kila siku alikuwa akiuliza ntarudi lini.

Nmefika ofisini hakuficha furaha yake.alinikumbatia na kunikiss shavuni. Nilishtuka sababu sikuwahi fanya hivyo kwa mtu yeyote ofisini. Huwa sijengi mazingira ya kukumbatiana.

Huyu dada wakubwa wengine wamemtaka sana akawakatalia. Mimi nimekuwa nikimheshimu siku zote. Naye niliona anajenga hisia za kunijali sana, kiasi wenzangu wakaanza sema anawakataa sababu yangu.

Leo sasa, kuna kazi alitakiwa aifanye akaifanya na baadaye ikabidi nimpatie msaada. Niliona nisimsumbue nikamfuata kwenye meza yake.

Nliimwelekeza mpaka aliponisogelea nami kupata her breath. Ana very sweet breath, very sweet ambayo ndiyo pia ilinifanya first time nimkiss wife.

Nilipofeel that breath mwili wangu uliitika. Wakati huo alinigusa na kusema Kaka xxx wewe wa moto. Nlichanganyikiwa maana nilijikuta nimesimamisha.

Nikaamua kuondoka niliona nisije onekana nipo hali hiyo. Nikaenda ofisin kwangu. Amenifuata ili sasa nimalizie kumpa maelekezo na kuedit barua maana nliondoka bila kumaliza hilo jambo.

Ameingia ofisini kwangu kanikuta nimesimama.akanikumbatia na kunikiss. Nikiri nami nilirespond. Hali yangu imebadilika sana. Amejaa kwenye hisia zangu. Imebidi niombe ruhusa nitoke na sitoweza rudi ofisini.

I only think about her...mpaka naumia.sielewi now what am i gonna do. Maana amenitumia text kubwa Kaka xxz nimekuagizia chakula please usiende kula nje.

Najisikia guilty kwa wife. Maana siku alikuja ofisini akamwona yule dada alipoteza imani naye kabisa. Mpaka leo huwa hamuamini na kila nilipomwambia kuwa yule ni kama dada yangu alinikatalia kabisa. Leo limenikuta jambo hili. Ni changamoto kwangu.
 
Acha uboyaaa! Kobe Kafa kaacha mahela na starehe zote hizi za dunia!

Nafsi yako ishatamani na yake ishatamani ponda raha kufa kwaja! Ukiwa 70s all left are memories! Unabaki kusimulia Secretary nae nilifumuaaa Babu yenu mi sio mtu mzuri kabisaaa!

ILA THE CARDINAL RULE KABLA YA KUMLA WEKA KARATA ZOTE MEZANI! Hii principle nyepesi ila wanaume mnafeli sanaa! Mwambie tu kama umekaaa na the marriage is so healthy! Still if she wants you can be an MBA (Married but Available) if she understands the whole table of contents!

Akikubaliana na hizo condition telezaaaaaa! Kuku kaingia mwenyewe bandani
 
Hii chai mkuu au ndo unajipigia pande kwa watoto wazur wakuone unakura warembo sana ili nao wajirahisishe kwako kwa hilo umefanikiwa sana wait soon waataanza kujaa PM
emoji23.png
emoji23.png
Hapo kwenye YEYE BOSS! ZE BIG BOSS! Panasomeka CRISTAL CLEARY! Isingekuwa yule bwana alienirogaaaa ningezama Inbox afu namuduuu kabisaaa huyu Muhenga!

From his writing he has class definitely! Loaded possibly! And he is inocent (Who the hell above 40 feels guil
 
Hyo kwamba ametakwa na watu wengne ofisin amewakatalia mjomba ifute kabisa..huyo ni ma.laya ,kwa experience yangu ya muda mref ya kuwatafuna watu wa maofisin..trust me utakuja nikumbuka.na kua nae makin.hawakosag HIV wa hvo
 
Back
Top Bottom