Wanaume tuliweke sawa hili Jambo

Wanaume tuliweke sawa hili Jambo

Cash Generating Unit

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2019
Posts
13,284
Reaction score
39,513
Wakuu inakuaje??
Kumekuwa na baadhi ya kundi la baadhi ya wanaume kuwasema wanaume wenzao wanaogharamia kuwa ni wazembe mara vichaa mara hawajitambui. Kila mtu ana ideology zake ana perceptions zake hivyo kama wewe hufanyi ambacho mwenzako bhs so uanze kumsema huo ni umama.

Me naamin mwanamke anahitaji matunzo makubwa hivyo mwanaume ni jukumu lako kumuhudumia mwanamke wako by any means. Mwanamke usimpogharamia unakuwa na probability kubwa ya kushare na wwngine hawezi kuwa wako huyo.

Wanaume msiotoa matunzo ndo mnaongoza kwa kuwa na stress daily kulia lia humu Jf. Naomba nitoe utofauti Mwanaume kamili anamuhudumia mpenz wake ila vivulana ndo kazi yao kutaka kula bure na kusepa na kuendekeza mashuga mami.

Kila mtu abaki na itikadi zake na perceptions zake, kama huna pesa Tafuta pesa ili ugharamie [emoji1491]


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Matunzo tunawapa wanawake wanao jielewa sio wale leo wako na juma kesho Hassan kesho kutwa Khamis...
FB_IMG_1580042052349.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwazo umesema unaamini kuwa mwanamke anahitaji matunzo, ila mwisho ndio umeandika kitu kuwa kila mtu abaki na anachokiamini yeye. Njia yako ya maisha haiwezi kuwa sawa na yangu, ukishajua hivyo hata atakae kudiss kuwa unahonga mpuuze kwakuwa wewe ndio njia yako unayoamini inafaa.

Vipi yule mwanamke wako wa GB 40 na laki nne kwa mwezi ameacha kukusumbua?
 
Quran 4:6

"Wala msiwape mamlaka ya
kuzitunza mali zenu ambazo Mwenyezi
Mungu Amezifanya kuwa ndiyo njia
yenu ya kujikimu, wale ambao hawana
uwezo kiakili wa kumiliki mali. Kwa hiyo
walisheni na wavisheni vizuri tu na
zungumzeni nao kwa upole."

Dah yan Mungu ni Mungu,

Huwa naupenda sana hii aya. Maana ukiangalia shda nyng zinazotusumbua wanaume kuhusiana na hawa dada zetu, zinatokana na kupuuzia hii aya.

1. Walisheni Vizuri.

2. Wavisheni Vizuri

3. Zungumzeni nao kwa Upole.

Wengi sana wamechapiwa kwa kushndwa aidha vyote au kmoja ya hv vtatu.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa iyo ndo anavokudanganya kuwa hana mwingine [emoji15][emoji848][emoji23][emoji23]unajidanganya mkuu ni 1000 kwa 1
Sitaki kushare mapenzi...nitatunza ili niwe na haki ya kumiliki...kama hamilikiki basi anifai..kuna vya kushare mkuu sio hizo makitu.
 
Umejuaje kama niko upande huo wa shilingi kama nipo upande ule je maana mimi nmetoa mtazamo tyu
Mkuu upo tayari kugongewa? Kama hautunzi basi kubali kuwa na mtunzi mgongaji....japo sio kila demu wa kuhudumia.
 
Kwa iyo ndo anavokudanganya kuwa hana mwingine [emoji15][emoji848][emoji23][emoji23]unajidanganya mkuu ni 1000 kwa 1
Sawa mkuu..Me namwamini na namuhudumia na mauongo yake
 
Back
Top Bottom