Natafuta mwenza wa maisha

project planner

JF-Expert Member
Jul 8, 2019
1,166
1,532
Habari wana jf natumaini wote ni wazima kama mada inavyojieleza hapo juu natafuta mshichana ambaye yupo tayari huanzisha mahusiano na hatimaye ndoa aliye serious kwa ajili ya kuanzisha mahusiano sifa kuuu

1 .Awe mcha mungu
2 Awe msabato au ambaye yupo tayari kubadili dini kuwa msabato
3. Elimu kuanzia darasa la saba kupanda juu
4. Umri awe na zaidi ya 18 na asizidi 30 shughuli zangu mi ni mfanya biashara aliye serious tafadhali ni pm.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kiongozi

Mbona hakuna maelezo ya ziada au wewe mwenza yoyote kwako Sawa?

Unge weka sifa zako hapo ili wadada wakija wajue kama Uta wafaa au watakufaa


Ila mungu akupe itaji la moyo wako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kila LA kheri mkuu, Ila njia nyepesi ya kumpata msabato mwenzio ni kwenda kanisani tu mkuu,
Me kuna Jamaa angu ni msabato , yy alimdaka manzi ake kanisani , mpaka sasa hivi wameshaona na wanawatoto na maisha yanaendelea

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu,mke wako yupo kwenye mazingira yako unayoishi,huku online wapo wa kutoana stress tu, hakuna anayetaka maisha ya kuanzia chini,wengi wanataka waje wakukute tayari umekuwa 'real man' (mtu mwenye kumiliki mali)
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom