Nimechelewa sana kujua kuwa kupenyapenya ni coping mechanism rasmi ya wababa inayotambulika

Ralph Tyler

JF-Expert Member
Jul 31, 2015
2,827
3,569
Juzi mheshimiwa makamu kanitoa tongotongo hadi nikajiuliza miaka yote hii nimejibanabana kwa sababu gani?
Makamu amesema wababa hawana tabu sana wana coping mechanism wanapenyapenya huko, hata wakilalamika siyo sana!
Nafikiri wale wababa wenye chochoro za kutosha za kupenyapenya hawalalamiki chochote hata kama mke atakuwa safarini kila siku akapatikana nyumbani siku mbili kwa mwezi!
Yaani aiseeeeh! Natubu malalamiko yote niliyomlalamikia mama watoto miaka yote hii, kumbe ningepenyapenya tu!
Lakini hata sasa hivi it's not too late. Wadau tuelekezane chochoro za kupenyapenya. Sharing is caring.
 
Back
Top Bottom