Naomba ushauri kuhusu jambo hili la Mke wa mtu kuvaa nguo zinazobana

Naomba kujua mtu wangu ameanza kuvaa nguo zinazobana (sketi) maungo. Binafsi sipendi kumuona akivaa hizo nguo na hata yeye wakati tunaanza hakuwa anapenda kuvaa nguo za aina hiyo.

Nilimuuliza anasema yeye anapenda kwa kuwa ni fashion, nifanyeje? Kuvaa nguo zinazoshika makalio ina maana gani?

Ila nishamwambia kuwa sitaki avae nguo hizo

Sent using Jamii Forums mobile app
Bado anauza, hajapata mteja.
 
Nipe namba yake nimshauri aache mara moja

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naomba kujua mtu wangu ameanza kuvaa nguo zinazobana (sketi) maungo. Binafsi sipendi kumuona akivaa hizo nguo na hata yeye wakati tunaanza hakuwa anapenda kuvaa nguo za aina hiyo.

Nilimuuliza anasema yeye anapenda kwa kuwa ni fashion, nifanyeje? Kuvaa nguo zinazoshika makalio ina maana gani?

Ila nishamwambia kuwa sitaki avae nguo hizo

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuvaa nguo za kubana ni dalili ya Uchangudoa, yaani anaanza kujiuza, Nguo nzuri za heshima zinazomtambulisha mwanamke alieolewa zipo nyingi saana, muachishe hiyo kazi kwani ndiko anakoigilizia mambo, akae nyumbani ashinde na madela ili atunze heshima yako.
 
Back
Top Bottom