donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,047
- 21,523
Salaam wakuu,
Straight to the point. Asilimia kubwa tumeshawahi kuumizwa katika maswala ya relationships, haijalishi jinsia ke au me. Unajikuta umejitoa kimasomaso kwaajili ya MTU ukiamini ndiye the right person for you lakini he/she ends up hurting your feelings.
Nimefanya tafiti yangu isiyo rasmi nimegundua kwamba katika mahusiano shurti uwe na plan B (wanasemaga kidumu). Hii inasaidia incase plan A fails, unahamishia nguvu zako kwenye palm B. Hii hulka nimegundua wenzetu jinsia ke wanayo sana (samahanini jamani) unakuta mwingine ana mpaka plan G.
Imagine umetokea kumpenda MTU kwa moyo wako wote then mpaka ndugu umewataarifu kua umempata MTU sahihi and then anakuja kukengeuka ghafla na kuku-dump. It really hurts a lot lakini at least ukiwa na ka plan b kako you won't endup a total loser.
On the record, sichochei watu wacheat kwenye mahusiano yao but according to my personal view Naona ni vyema kua na backup plan.
Sent using Jamii Forums mobile app