Huu mji kutongoza kazi sana...

Huu mji kutongoza kazi sana...

Lavit

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2011
Posts
16,338
Reaction score
37,779
Wakuu mnaweza sema habari ya kutongozana ilishapitwa na wakati, sawa inaweza kuwa kweli ila kwa Dsm hata kumsogelea kumuongelesha mwanamke ni kazi ngumu.

Nakumbuka wakati nipo mkoani nilikuwa naweza muapproach mwanamke yeyote atakayenivutia, ila hapa mjini ujasiri wote umeisha, watu wako busy na wadada ndo kabisa! Iwe mjini, kituo cha basi, kwenye daladala hata mwendokasi.

Huwa inanitokea kila nikijaribu kumuongelesha mdada najishtukia na kujiuliza atanionaje. Hata namba chache nilizowahi chukua hazikuzaa matunda zaidi ya kuambulia kupigwa mizinga siku ya kwanza.

Kuna wakati nilikuwa najiuliza mtu anaanzaje kubeba malaya au baamed, ila sasa naanza kuwaelewa.. Kwa hali ya dsm kuliko kutongozana ni bora ununue tu huduma.

NB: Wataalam wa mambo nipeni mbinu, mnawawezaje hawa wadada wa mjini walio busy na smartphone na earphone muda wote??
 
tafuta PESA mkuu watakuja wengi tuu mpk uwakimbie

Sijui unakwama wapi mkuu unashindwaje kuanzisha mazungumzo na mtoto wa kike hata ka urafiki ka uwongo cha kuzugia utie vocals unayumba Sana

Ningekupa mbinu ambazo nlizipata kuzifahamu ktk mazingira ya visa na mkasa sema utakufa na ukimwi ngoja nikuache tafuta tu another hobbies
 
Pesa ninazo.. Ila nawakuta wapi au wao wananipata wapi? Mbona naona mji uko busy sana?
Fungua duka au kaofiski kokote ila isiwe vifaa vya ujenzi hutawapata au nunua kagali mkuu
 
Watanzania hawako friendly, na pia hawapo open hata kidogo. Matokeo ya ujambazi, watu kuuwawa, watu kutekwa na matukio jinsia hio imesababisha watanzania na hata nchi jirani hali kuwa ngumu sana kwenye kuanzisha mahusiano ya barabarani. Ndio tumekulia hivyo, hapo sasa ndio utapata picha ya kwanini watu wanakimbilia kwa madada poa ama barmed
 
Wakuu mnaweza sema habari ya kutongozana ilishapitwa na wakati, sawa inaweza kuwa kweli ila kwa Dsm hata kumsogelea kumuongelesha mwanamke ni kazi ngumu.

Nakumbuka wakati nipo mkoani nilikuwa naweza muapproach mwanamke yeyote atakayenivutia, ila hapa mjini ujasiri wote umeisha, watu wako busy na wadada ndo kabisa! Iwe mjini, kituo cha basi, kwenye daladala hata mwendokasi.

Huwa inanitokea kila nikijaribu kumuongelesha mdada najishtukia na kujiuliza atanionaje. Hata namba chache nilizowahi chukua hazikuzaa matunda zaidi ya kuambulia kupigwa mizinga siku ya kwanza.

Kuna wakati nilikuwa najiuliza mtu anaanzaje kubeba malaya au baamed, ila sasa naanza kuwaelewa.. Kwa hali ya dsm kuliko kutongozana ni bora ununue tu huduma.

NB: Wataalam wa mambo nipeni mbinu, mnawawezaje hawa wadada wa mjini walio busy na smartphone na earphone muda wote??
Ha ha ha ha[emoji51] [emoji51] [emoji51] [emoji51] karibu town jomba,,
Hao unaowaona wako busy wengi wao hawajui hata wanakwenda wapi mkuu,wewe earphone zisikutishe sema nao tu ,
Wengine hata smart phone zao huwa zimezima charge ila masikioni ameweka earphone
 
Ha ha shukrani mkuu..
 
Back
Top Bottom