Uliwezaje kudumu kwenye Mahusiano ya Mbali?

Uliwezaje kudumu kwenye Mahusiano ya Mbali?

Redpanther

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2019
Posts
3,041
Reaction score
4,297
Habarini za jioni wakuu.

Wakubwa heshima yenu. Eeh mimi napata tabu sana kwenye mahusiano hasa hasa linapokuja suala la umbali.

Mpenzi wangu yupo mbali kidogo (Arusha) , nimekuja huku Mtwara kikazi kwa muda wa wiki mbili tu lakini kulingana na upweke na wakati fulani nakuwa horny najikaza tu ila napambana kweli na sitaki kumsaliti mpenzi haijalishi yeye ananisaliti ama lah.

Sasa kwa muda wa wiki moja tu naiona safari ngumu kweli, sasa ambao mnaoonanaga na wapenzi wenu mara moja baada ya miezi mitatu au minne ? How do you make it work ? [emoji1][emoji1]

Nisaidieni wazee

Happy dude [emoji67]‍[emoji538]
 
dah'..! asikudanganye mtu mapenzi ya bluetooth ni magumu mno, honestly inahitajika serious commitment na uvumilivu wa kiwango cha juu kabisa,
Imagine mpo nyumba moja na 'unasaidiwa' na mpangaji mwenzio, itakuwa huko dunia nyingine??

Enwei, on a positive note, kuchapa ama kuchapiwa haijalishi umbali, hii inakuwa inahusisha zaidi tabia zenyu ninyi wapendanao..! japo yeah.! 'umbali' pia ni chanzo kikuu cha usaliti.!

Muhimu zaidi, ni kujifunza kui control tamaa ya miili yenu, kwa wanawake wengi najua wanaweza hili, ila kwa wanaume wetu sasa..! Mungu tu aingilie kati..!

Wasilianeni kila mpatapo nafasi ya kufanya hivyo aiseeh'..! Mawasiliano yanajenga sana ukaribu baina yenu, Mpenzi wako ndiyo awe rafiki yako wa karibu, Mie kila ninachokipitia huwa napenda nimpigishe tu umbeya mpenzi wangu naye inabidi tu asikilize ujinga wangu bila kukoma then nikimaliza hapo anipe ushauri flani hivi bomba, najiskiaje ahueni.?

Wanawake tunapenda sana mtu atupaye muda wake, fanya hivyo kila upatapo nafasi itakusaidieni sana kwa mahusiano yenu.!!
 
[emoji23][emoji23][emoji23] Hili la umbea, binafsi nalielewa sana. Kuna wakati napigiwa simu ananieleza vile mtu fulani kafanya hili na lile. Ila mie nakua sipo ila najitahidi kuwa part ya hizo gossips nampatia na ushauri. Ila kwa maneno yako umeniongezea kitu. I love her, my Manka, Esposa. Textz zetu zimejaa utumbo utumbo tu dirty and holly stuffs in the same plate [emoji23][emoji23]
IMG_2215.JPG

Unaweza ona frequently used imojis[emoji1]

Happy dude [emoji67]‍[emoji538]
 
Niliweka ahadi na mke wangu sitomuacha wala kumcheat
Akasema akifa je?
Nikamjibu sitomuacha
Akachukua kisu akajikata akachanganya damu na me

Leo hii amekufa yapata miaka 20 sasa
Popote napokuwa na feel nipo naye.

Nikiwa na hamu ya ngono na feel nafanya naye
Japo amekufa mwili lakin nauhakika roho yake inaishi bado.

Sasa unakwama wapi ikiwa mtu yupo dunia hii hii
Angskufa kama wangu j
 
We cheat tu izalendo ukikushinda ila huko kua horny ni kijiendekeza.

Ukishindwa kabisa kila weekend aje au ww uende ulipo muacha

Kujiendekeza vipi jamani, leo aliomba video call amemiss kuona my d*k nikamwambia sawa mama, akawasha data then video call ndo hivyo ila baadae ile kuwa horny ikaisha.

Happy dude [emoji67]‍[emoji538]
 
Niliweka ahadi na mke wangu sitomuacha wala kumcheat
Akasema akifa je?
Nikamjibu sitomuacha
Akachukua kisu akajikata akachanganya damu na me

Leo hii amekufa yapata miaka 20 sasa
Popote napokuwa na feel nipo naye.

Nikiwa na hamu ya ngono na feel nafanya naye
Japo amekufa mwili lakin nauhakika roho yake inaishi bado.

Sasa unakwama wapi ikiwa mtu yupo dunia hii hii
Angskufa kama wangu j

Kuwa serious basi mzee [emoji23][emoji23]

Happy dude [emoji67]‍[emoji538]
 
Kama ni mke Mungu akakusimamie kaka.
Ila kama ni hawara (hamjatambulishana) kuna kamsemo kanasema "Guess who Fuckn u're bitch"

Hehehe.. ! She is my gal, and she is a type of woman I love and trust. Sasa masuala ya kugongewa nimesema mie sitaki kuyasikia na ninataka kuachana na mambo ya kugonga gonga. Sitaki kabisa sikia, kuna muda wanawake huwa nawachukia ila huyu Mwanamke kwa namna fulani amenifanya niamini wanawake wote si sawa.

Happy dude [emoji67]‍[emoji538]
 
Mbona hiyo ndogo brother, Mimi Niko bunju, mpenz wangu kwao ni goba lakin alipata Kaz Eac huu mwaka wa 5 hatuko karibu, Lakin sikumbuki Kama Kuna saa inapita bila kuiona sms yake hata ya tuma naya kutolea
 
Nipo seriously Mkuu
Mapenzi ni hisia

Ni kweli mapenzi ni hisia, ila kama ni kweli hayo uliuoyasema basi bravo sana na pole kwa kumpoteza shemeji yetu

Happy dude [emoji67]‍[emoji538]
 
dah'..! asikudanganye mtu mapenzi ya bluetooth ni magumu mno, honestly inahitajika serious commitment na uvumilivu wa kiwango cha juu kabisa,
Imagine mpo nyumba moja na 'unasaidiwa' na mpangaji mwenzio, itakuwa huko dunia nyingine??

Enwei, on a positive note, kuchapa ama kuchapiwa haijalishi umbali, hii inakuwa inahusisha zaidi tabia zenyu ninyi wapendanao..! japo yeah.! 'umbali' pia ni chanzo kikuu cha usaliti.!

Muhimu zaidi, ni kujifunza kui control tamaa ya miili yenu, kwa wanawake wengi najua wanaweza hili, ila kwa wanaume wetu sasa..! Mungu tu aingilie kati..!

Wasilianeni kila mpatapo nafasi ya kufanya hivyo aiseeh'..! Mawasiliano yanajenga sana ukaribu baina yenu, Mpenzi wako ndiyo awe rafiki yako wa karibu, Mie kila ninachokipitia huwa napenda nimpigishe tu umbeya mpenzi wangu naye inabidi tu asikilize ujinga wangu bila kukoma then nikimaliza hapo anipe ushauri flani hivi bomba, najiskiaje ahueni.?

Wanawake tunapenda sana mtu atupaye muda wake, fanya hivyo kila upatapo nafasi itakusaidieni sana kwa mahusiano yenu.!!

Hii mada mtambuka sana. Mapenzi ya mbali ni magumu sana, inabidi kuwe na bond moja matata sana.
Sometimes huwa nafikiria ile ya mke anafanya kazi Dodoma na mume anafanya kazi Kakonko.
 
Hii mada mtambuka sana. Mapenzi ya mbali ni magumu sana, inabidi kuwe na bond moja matata sana.
Sometimes huwa nafikiria ile ya mke anafanya kazi Dodoma na mume anafanya kazi Kakonko.

Hiyo mwenyewe inanipaga wakati mgumu sana kuamini kama inawezekana. Na ukute ndio mmetoka kufunga ndoa tu yaani alfu mwenzio anakuaga kwenda kuripoti kazini daah sijui kama mie nitaweza hicho kibarua.

Happy dude [emoji67]‍[emoji538]
 
dah'..! asikudanganye mtu mapenzi ya bluetooth ni magumu mno, honestly inahitajika serious commitment na uvumilivu wa kiwango cha juu kabisa,
Imagine mpo nyumba moja na 'unasaidiwa' na mpangaji mwenzio, itakuwa huko dunia nyingine??

Enwei, on a positive note, kuchapa ama kuchapiwa haijalishi umbali, hii inakuwa inahusisha zaidi tabia zenyu ninyi wapendanao..! japo yeah.! 'umbali' pia ni chanzo kikuu cha usaliti.!

Muhimu zaidi, ni kujifunza kui control tamaa ya miili yenu, kwa wanawake wengi najua wanaweza hili, ila kwa wanaume wetu sasa..! Mungu tu aingilie kati..!

Wasilianeni kila mpatapo nafasi ya kufanya hivyo aiseeh'..! Mawasiliano yanajenga sana ukaribu baina yenu, Mpenzi wako ndiyo awe rafiki yako wa karibu, Mie kila ninachokipitia huwa napenda nimpigishe tu umbeya mpenzi wangu naye inabidi tu asikilize ujinga wangu bila kukoma then nikimaliza hapo anipe ushauri flani hivi bomba, najiskiaje ahueni.?

Wanawake tunapenda sana mtu atupaye muda wake, fanya hivyo kila upatapo nafasi itakusaidieni sana kwa mahusiano yenu.!!
Wabhejha mkuu
 
Hapa kinachotakiwa ni uaminifu wa kiwango cha juu kwa nyinyi nyote.

Soma hiii [emoji1484][emoji1484][emoji1484][emoji1484]
FROM INBOX

BADO NINALIA NA NDOA ZA BLUETOOTH!
(ZILE ZA MUME YUPO SONGEA MKE ANAISHI TANGA)
--Memo hii, Ikiisha somwa, yafanyike maombi na dua maalumu---

NAKALA KWA:-

-Maparoko wote,
-Mashehe wote
-Mapasta wote,
-Maaskofu wote,
-Mnaotarajia kuingia kwenye ndoa.

DANGER! DANGER!

Hii ni memo ngumu sana inayoweza kukuudhi maana nimejifunga MABOMU kuyasema ambayo hungependa kuyasikia ukweli.

SASA TWENDENI......

Ndugu wanandoa,
Mnaomiliki ndoa za Bluetooth,
Nawasalimu salamu za kimakinikia!

Mahusiano ya wanandoa wanaoishi sehemu tofauti kwa kigezo cha kazi au masomo ni hatari Sana kwa ustawi wa ndoa yako,ni sawa na mtu anayelima shamba Iringa yeye anaishi dar ,yeye anapiga simu tu na kutegemea kuvuna mavuno kedekede.

Mme unaishi Mwanza mke anaishi mtwara halafu mnasema mmeoana.Ninakupa tahadhari kwa nguvu ya Roho Mtakatifu aliyeko ndani yangu. Eva alikuja kurubuniwa na nyoka baada ya kuona kuwa Adamu ameondoka,nina uhakika kama Eva angekuwa na mme wake nyoka asingethubutu kumsogelea Eva na kumdanganya.

Kuna mambo mengine mkiwa mnaishi pamoja mke na mme shetani hawezi kuthubutu kuyaleta ila ile kutengana shetani anapata hapo mwanya wa kuja kuwajaribu.Nimeshuhudia ndoa nyingi ambazo zimepigwa kwa jinsi hii.Ninawaonya binti zangu BHM na wale mlio kwenye ndoa tayari kuepuka jambo hili kwa garama yoyote.Msije kusema sikuwambia.

ELOI! ELOI!

Mimi nina pointi 10 nilizokuletea ili ikiwezekana uokoe hili janga lililokuzunguka

1). Kinachosababisha kufika hali hii sio serikali kukataa kuhamisha watumishi, bali ni wafanyakazi wenyewe kukataa kuhamisha akili. Shida ya kwanza kwa wengi ni kuamini kwamba ajira ni kila kitu. Shida ya pili ni vipaumbele. Ukiona unaacha mke Dar unaenda kufanya kazi Mtwara, na mke nae akawa mwajiriwa na miongoni mwenu hakuna alietayari kuacha kazi kumfuata mwingine, mjue kwamba wote wawili hakuna ambae ameweka ndoa kama kipaumbele cha kwanza!

2). Nioneshe mtu aliewahi kuthamini ajira kuliko ndoa halafu ndoa ikabaki salama kwa muda mrefu. Mnaweza kusema ohooo, tunaaminiana, mara ohooo, mke wangu/mume wangu hawezi kunisaliti, sikatai! Enhee, akishakuwa hajakusaliti what is next? Nyie ni watu wazima bana, naomba niwaeleze kwamba kuna mambo ambayo maombi yanaweza kuhamisha, lakini kuna mambo yapo mwilini huwa hayahami kwa maombi ng'oooo. Ukiamua kubisha shauri yako mwenyewe! Wewe umekomaa na ajira yako huko Mwanza mume umemuacha Dar, halafu unategemea maombi ya kwa Nabii Malisa, eti Mungu amlinde mumeo kule Dar? Subiri uvune mabua, ndio utaelewa!

3). Halafu aliewaambia kwamba mmoja akiacha ajira kumfuata mwingine, eti mtakufa na njaa nani? Shida yenu ni kwamba tukiwaelekeza ujasiriamali mnaona as if hauwahusu, ndio maana ajira mnazitetemekea kiasi cha ku-risk ndoa zenu. Aliekudanganya kwamba ukiwaachia liajira lao wanalokulipa "vilaki nane", ukamfuata mke/mme na kupiga ujasiriamali, utakosa kuzalisha zaidi ya laki nane, ni nani huyo? Unajua ninawamaindi kwa sababu, nilishawaelezaga kwamba kwenye ajira mnalipwa asilimia chini ya kumi ya mnachozalisha, sasa kinawashinda nini kuzitoa sadaka ajira ili mkaokoe ndoa? Nakuona tu unavyonibinulia midomo, na kunifyonya, lakini huu ndio ukweli.

4). Haya basi! Tuseme ninyi ni wa kisasa, so, ishu ya ndoa ya bluetooth haiwasumbui, je, hayo malezi ya watoto inakuwaje? Mke Kigoma, mume Arusha, watoto wako boarding Tabora! What a wastage of parentalhood! Shida yenu mlio wengi mnadhani ni sifa kupeleka watoto wa chekechea boarding in the name of kutingwa ama in the name of ajira. Laiti mngekielewa ambacho Mtume Paulo alimweleza Timotheo kuhusu watoto (2Tim 3:15), msingekubali mtindo huu, ama mtindo wa baba kusubiri miezi sita ama mwaka ndio akawaone watoto kwa mkewe, maana watoto wanalelewa na mama Songea baba akiwa kazini Dodoma!

5). Hadi hapa najua nimeshawakorofisha watu, maana ndoa za masafa siku hizi imekuwa ndio fasheni, kwamba mke na mume wakikutana ni spesho kwa ajili ya ujauzito na from there huyu kule mwingine huko. Hivi aliewaeleza kwamba ndoa ni just ijulikane umeoa ama umeolewa ni nani? Kwani haijaandikwa kwamba mmeoana ili muishi pamoja?

Hata hizo hela mnazotafuta (if ni nyingi kihivo) mnawezaje kuzipangia matumizi na maendeleo ya familia? Au ndio mnategemea bando la halichachi na jazwa ujazwe na WhatsApp kujadiliana kuhusu familia? Hivi mnajua kwamba kuna nguvu kubwa kupanga mambo ya ndoa na familia mkiwa mnatazamana kwa macho na mwenzi wako? Mkoje, nyieeee? Kwani maparoko, mapasta na mashehe hawawaelezi haya?

Wakinga huwa wanasema vyungu viwili huwa vinamaliza kuni haraka. Mume uko Tanga una bajeti ya nyumba, mke yuko Geita nae ana bajeti ya nyumba, hee, kwa mishahara hii ya chini ya milioni mbili, lini mtafanya maendeleo ya maana?. Ni ujinga mkubwa wa kiwango cha utoroshaji wa makinikia, wanandoa kuishi mbalimbali na ku-risk ndoa eti kwa mishahara ambayo inaishia kwenye matumizi!

By the way, who told you kwamba hata muajiriwe ajira tatu-tatu eti ndio mtakuwa na financial freedom? Wengine wananiuliza, "Je, kwa waliopo masomoni inakuwaje?". Haaa! Haaa! Mie leo naongelea mnaofanya kazi, mengine msinipangie!

6). Mmeambiwa kwamba kisiwepo cha kuwatenganisha isipokuwa kifo. Hamuoni kwamba ajira zimeshakuwa vifo? Mnapata wapi ujasiri wa kuishi na kifo mkingali hai? Nyie mnaujasiri sana. Yaani kifo kinazunguka zunguka, mpo tu mwaka wa kwanza, mwaka wa pili, mwaka wa tatu mnakitazama tu???!!!?? Kweli? Mbona mna hatari namna hiyo!

7). Pointi hii yaweza kuwa ngumu zaidi. Unajua wanaume huwa wanasisimka kwa kuona(kutazama), right? The fact is, asipokua anakiona anachokipenda mara kwa mara (yaani mke wake) ataanza kuona mibadala, hata kama ni "mlokole masalia". Mwanamke anasisimuliwa kwa kusikia (with physical expression). Ndio maana hata mke ukimuangalia usoni na kumwambia, "Nakupenda", anasisimka zaidi kuliko ukimpigia simu na kumwambia, "Nakupenda".

Mpo? Mwanamke anaihesabu "care" kwa kupima ukaribu, (yaani muda unaokua nae physically). Wanawake ni kama watoto, sio kiakili bali kwa hitaji lao la kuwa cared to the maximum. Mwanamke yeyote unaweza kumpata kiurahisi ikiwa kuna factor mbili:- mosi, ikiwa mumewe amezembea kum-care. Pili, ikiwa muwindaji utatumia sayansi ya ku-care. (Mliooa shikeni pointi hapa mnafanya uzembe halafu nyani wanakula mahindi yenu).

So, mwanamke alieolewa anapokuwa mbali na mumewe, huwa anakuwa na gepu fulani, hata kama awe anajikaza. Kuna two things hapa:- gepu hilo likiwepo ndio anaweza kuendelea kujikaza lakini ikizidi sana atakuwa anaumia na itamuathiri. Akiwa anavumilia ashukuriwe Mola. Pili ni kwamba anaweza kutafuta mbadala.

Wanaume ukiona ametafuta mbadala automatically huwa ni kwa ajili ya ngono lakini wanawake huwa wanatamani just care, baasi. The question comes, wanaume wangapi wanaweza kuwa karibu na wake za watu kwa extend ya ku-care that much halafu wawaache pasipo kuwakula? Ndio ile unakuta mke wa mtu ameshaliwa halafu anasema, "Wewe kaka Abdul nilikuwa nakuchukulia kama kaka yangu lakini umenifanya tumefanya hivi, basi iwe siri yetu".

Usidhanie ninakutisha, lakini ukatae ubishe, ni kwamba huko aliko mumeo ama mkeo ambako kuonana ni mpaka likizo hadi likizo, uwezakano wa wewe kula makombo ni mkubwa (hope mnanielewa). Jifariji uwezavyo, muone mkeo ni mlokole uwezavyo (in fact kuwa mlokole hakufuti hisia na mahitaji ya kike), mie ninakwambia fanya juu chini muishi pamoja, maana usalama ni mdogo. Sijasema usalama haupo, hapana, ila nimesema ni mdogo.

By the way (kwa wewe unaebisha) wacha tu-assume kwamba mkeo ama mumeo ambae uko nae mbali yupo salama asilimia zote kwa hiyo naomba hata usinicharukie, sawa enhee? Maana hukawii kujenga hoja unipige mawe kuhofia kujihami na uwezekano wa mali zako kuliwa hulo ziliko. We uchune tu, simuongelei mke wako/mume wako, mie nawasemea wengine. Si umenielewa etiii?

[emoji41]. Baadhi ya wanawake mlioolewa katika ndoa hizi za bluetooth mnanichekeshaga sana. Unakuta unabana kabisa pua eti, "Siwezi kuacha ajira, coz wazazi hawatanielewa maana walinisomesha", heee! Unataka kueleweka kwa wazazi ama unataka kueleweka kwa mumeo? Shida yenu (baadhi yenu), vielimu vyenu vimeshawapotezea utii na unyenyekevu kiasi kwamba mnaamua ya kwenu ndani ya ndoa as if bado mko mabachela. Mie ni mmoja ya wanaume wanaosisitiza wanawake wafanye kazi (akiwemo mke wangu), lakini niko aggressive sana linapokuja suala la mke kuthamini maslahi ya ndoa na familia kwa MAJADILIANO. Ukishabana pua yako na kuanza kuwasikiliza wazazi maana yake ni kwamba hamuwezi kufikia muafaka na mumeo kwa suala hili la ndoa ya bluetooth! OLE WAKO NIKUKUTE, maana bakora za mgongo zitakuhusu!

9). Sisemi kwamba ni lazima mmoja wenu aache kazi kumfuata mwingine, la hasha! Ila ninashauri kwamba muanze kufikiria uhamisho if upo, mkikosa kabisa alternative ya uhamisho, fikirieni mmoja anaemfuata mwingine akatafute kazi anakohamia, na hilo likishindikana ndio kufuatie KUJILIPUA, yaani kuacha ajira na kwenda kulea ndoa. Ninachofahamu ni kwamba, kama mkikomaa na Mungu na mkaziweka akili zenu kufikiri, mnaweza kuishi pamoja na kipato chenu kisiathiriwe. Ninacholilia mie ni ile watu mmekaa mbalimbali mwaka wa kwanza, mwaka wa pili, mwaka wa tatu, n.k halafu hakuna bidii za kujitoa sadaka zinazofanyika ili mkaishi pamoja. Hapa ndipo ninapomaindi zaidi!

10). Kuna kitu kwenye ndoa kinaitwa Marriage Culture (utamaduni wa ndoa) ambacho hujengwa ndani ya miaka mitatu hadi mitano baada ya kuoana. Marriage culture hutengenezeka mnapokuwa pamoja. Marriage culture ni kama msingi wa ndoa, usipojengwa siku za kwanza za ndoa you are finished maana kuna uwezekano ndoa kukosa dira. Mmetoka honeymoon, mke karudi Katavi kazini mume umeenda zako Bukoba kazini. Huu ni mwaka wa tatu, mnakutana likizo hadi likizo! Siwafichi, mnampa shetani wakati mgumu kudhani kwamba ataiacha ndoa yenu salama.

Na nyie ambao ndoa ina zaidi ya miaka mitano mkiwa pamoja then mkatawanyika mama Urusi baba, Tanzania, mna hatari kubwa maana kuna kitu kinaitwa marriage bond (muunganisho wa ndoa), kinakuwa kinasagika na ipo siku kitakatika na .mtakutana uso kwa uso na divorce hata kama mmeshaoza na kuozesha wana! Enewei siwaingilii, just nawaeleza kiaina.

HEBU TUOMBE....

Eemola wetu/mungu wa Mbinguni tunakuja mbele zako tukikemea na kukomesha ndoa zote za bluetooth maana zimekuwa kiota cha michepuko na kuathirika kwa malezi ya watoto. Kabla mwaka huu haujaisha, ndoa nyingi za bluetooth zisiwepo hasa kwa huyu alienisoma na kunielewa, Ameeeen!

Baada ya maombi haya ENENDA KWA AMANI UKAJILIPUE!

MAANA....

Kuna wengine mnapolia kuhusu ndoa, kumbe inabidi tukemee tu kifo, ili mpoteze ajira mkaokoe ndoa! Naomba mtu yeyote asinimaindi kwa hii memo hata kidogo. Ingawa najua HUU NI UJUMBE MGUMU kwenu, naombeni mnivumilie na muupokee hivo hivo. Safari hii siwadai soda maana najua nimewachefua nyongo, japo ndio ukweli wenyewe! #Faida potea kijana wa mwanza NINALIA NA NDOA ZA BLUETOOTH!
(ZILE ZA MUME YUPO SONGEA MKE ANAISHI TANGA)
--Memo hii, Ikiisha somwa, yafanyike maombi na dua maalumu---

Happy dude [emoji67]‍[emoji538]
 
Back
Top Bottom