Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Eid mubark for all Muslims Jamani kuna mwanamke nimezaa nae mtoto ila ki ukwelii simpendi hata asilimia moja daah na ni mzuri kweli ila simpendi ata lile pendo la kinafiki siwezi sijawahi...
2 Reactions
90 Replies
9K Views
Yani wanawake wengi walioolewa wanawakimbia waume zao, muda mfupi baada ya ndoa kufungwa, kama hapa mtaani ninapoishi, wanaume zaidi ya 4 wamekimbiwa na wake zao Ukiwauliza hao wanaume sababu za...
2 Reactions
75 Replies
12K Views
HOW TO KEEP THE LADY YOU ARE DATING: Do you love your girl and you don't want another man to snatch her from you? Then do the following things: 1. Give her plenty of attention. If you give her...
5 Reactions
24 Replies
3K Views
Kwa wanaume nikawaida iwapo atabahatika kumwona mwanamke aliyekaa vibaya na kuacha utamu nje lazima akaze jicho pale kwa muda. Pia kama mdada amevaa nguo kioo(transparence clothes) tukipishana nao...
1 Reactions
44 Replies
9K Views
Hizi mvua hizi na baridi si mchezo Unajaribu kujiweka bize na shughuli mbalimbali lakini wapi, kichwa kidogo anamtaka mwenzie. Unakunywa kahawa zaidi ya vikombe vitatu ili kuondoa baridi lakini...
2 Reactions
43 Replies
4K Views
Nawasalimu wote mnao Date dereva Bodaboda [emoji2][emoji2] Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
18 Replies
3K Views
Kwa kweli Mungu ni mwema sana na Namshukuru kwa siku hii ya leo. Imekuwa na changamoto nyingi sana hii siku ya leo ila najua nimezishinda na usiku umeingia hapa ni kwenda kulala tu hakuna...
40 Reactions
179 Replies
15K Views
1. Mwanamke mwenye sura na muonekano unaokupendeza daima 2.Mwanamke mwenye tabia njema za kupendeza (Wife materials) 3.Mwanamke anayeweza kukupa ATM na password yake ukatoe pesa zote za...
14 Reactions
166 Replies
20K Views
Nakumbuka kuna binti nilikua nasoma nae chuo wote tulmetoka mkoa moja nikatokea kumwelewa ila ndio vile tena demu alikuwa ana akili sana darasani yeye kamapani yake ilikuwa vipanga wenzake basi...
11 Reactions
22 Replies
3K Views
Natumai nyote wazima, Ndugu zangu naomba msaada kutoka kwetu, ninapitia wakati mgumu sana. Mimi nimeolewa na nina watoto. Ndugu yangu ambae baba alimfanya machafu pia kashaolewa. Baba na mama...
13 Reactions
535 Replies
38K Views
Aliweka asali, pipi kifua, sabuni za kuua bakteria, ndimu, maji ya ukoko, shabuu vinginevyo mategemeo yake uke uwe mdogo na amridhishe mpenzi wake. Matokeo yake amepata madhara na kizazi kimeoza.
5 Reactions
68 Replies
12K Views
Habari wakuu, Nimekuwa na binti katika mahusiano kwa kipindi kirefu sana (tangu akiwa form 2 mpaka sasa yupo mwaka wa 3 chuo kikuu).Aliamini mimi ndiye mume wake japo mimi sikuwahi kuamini kama...
3 Reactions
72 Replies
8K Views
Sisi sote ni uzao wa damu na nyama.. Uzao huu si kamilifu.. Hivyo makosa hayaepukiki popote Makosa wanafanya wengi na kila mmoja wetu anakosea kwa viwango vyake.. Kuanzia udogoni mpaka ukubwani...
4 Reactions
16 Replies
2K Views
Wakuu nawakaribisha kwa serious talk Kuna uzoefu flani wa maisha naukosa na hivyo naomba kuazima hekima zenu na uzoefu Niko mkoa X , na niemeoa huku. Kwetu sisi ni mkoa Y mbali kwa mwendo wa...
4 Reactions
30 Replies
3K Views
Mchepuko unataka ujipandishe cheo.. Nashangaa ananipigia simu usiku, huku akiongea kwa sauti ya mahaba...akilalamika amenimisi na anahitaji kuja kuniona. Kiutani nikamwambia kama una nafasi we...
9 Reactions
80 Replies
7K Views
Mimi na mke wangu tuko kwenye ndoa kwa miaka 13. Tuna watoto 3, miaka 12, 7 na 2. Tuna active sex life lakini tumekuwa tukitumia condom kama njia ya kupanga uzazi na kwa kweli imetisaidia sana kwa...
3 Reactions
29 Replies
5K Views
"Ewe mwanamke mtii mumeo"... "Nawe mwanaume mpende mkeo". Wapi pameandikwa kuwa mwanamke apende? Mwanaume anapenda na mwanamke anatiii. Hii hulka ya wanaume kulilia kupendwa ni umama. Yeye...
3 Reactions
3 Replies
1K Views
Tuwape Credit Leo wa ubavu Wetu Embu tuambie Nikitu gani unakipenda sana Kutoka Kwa Mpenzi wako Mm nacho penda sana ni mwili wake Uko Very sex laini na unahamasisha kuutumia Kila Unapo hitaji...
2 Reactions
68 Replies
11K Views
Unajua kwa sisi wengine ambao tunatumia ndege kwa asilimi 80 ya safari zetu inafikia hatua ukapanda nasi unaweza sema ni staff. Kwa mfano mimi ndege zangu ni Qatar Airways yaani hunitoi kwa hawa...
62 Reactions
163 Replies
22K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…