KingPower
JF-Expert Member
- Jun 8, 2015
- 1,148
- 1,907
Habari zenu wakuu!
Niende moja moja kweny mada !
Nina toka na binti mmoja yapata miezi minne now tulianza mwezi wa 11 mwaka Jana,
Ilipofika mwezi wa kwanza katikati akawa anadai hazioni siku zake yani ni mjamzito,, nikasema Ni jambo jema kama kweli mtoto ni Wang!
Nikiwa kweny harakati za kutaka kwenda kwao kujitambulisha na kusema nawajibika na iyo mimba akawa yeye tyr amewajulisha wazazi wake na Mzee wake akawa amewaka sna na kumfukuza Binti nyumbani kwao ( Mzee ni mkorofi sna (mfipa) ingawa sijawahi kukutana nae wala kumjua).
Binti akaja kwangu na ninaishi nae nikijipanga niende kwao kujitambulisha!
Ila Sasa amebadilika sna na ni msiri sna anapenda kutumia simu yng na uwa nampa (kunichunguza) ila Simu yke uwa siombi na wala sina tabia ya kuchunguza wala kuomba simu ya mwanamke!
Ila Sasa kuna vitu vikaanza kunitia mashaka simu yke ikipigwa kuna muda hapokei akiwa na Mimi, au anaondoka na kuongelea nje,
Siku chache nyuma nikabahatika kuijua pattern yke ya Simu!
Nilichokikuta anawasiliana na wanaume 2 na text za mahaba tele na wanapigiana sna inavoonekana nikiwa job! Na nika prove kwa kuwasiliana nae ila wao hawajui chochote!
Tulio kuwa saved kweny phonebook yke tupo kama 10 ila ana namba kibao anazo wasiliana nazo ambazo hazisave kabisa!!
Nikazama Facebook book page yke nikakuta ina jina lake la kwanza na la pili ni la EX boyfriend wake. arafu akamalizia na neno hny.
Nika choka Mzee mzima alinipaga Mkasa wa uyu ex wake na nimwanaume alie mpenda! Back in days!! Ila anadai now ananipenda [emoji3][emoji3][emoji3] sna
Sasa leo nipo na gari ya Job na dereva wetu tunakatisha mitaa ya home , dereva wetu ni mtu wa totoz sna akamuona mbele kidogo na ninapo ishi kama nyumba 3 toka home akamuita akaja (sijui kama aliniona ) akamuomba namba ya Simu akampa peni na karatasi kama masihara ivi dereva akageuza gari na huyu manzi yngu akampa kweli namba na cheki kwey ile karatasi kweli ni namba yke!
Ila dereva hafahamu kama Mimi natoka na yule Manzi .(simlaumu)
Najaribu kuvuta picha naanza kuhisi hata hii mimba yaweza kuwa sio yngu!
Nilicho mgundua huyu Manzi ana katabia ka uongo ,, narudi home baadae ya job kuna kidume kingine kika mpigia simu na akadanganya mbele yngu anaishi sehemu tofauti na tunapo ishi !
Nina ayo tu sijamwambia chochote na wala hajui chochote.
Naomba ushauri wenye busara maana naweza nikapiga nikaua nipo kimya muda wote.
Sent using Jamii Forums mobile app