Hivi Mahusiano kwa sasa yana kiingilio

Hivi Mahusiano kwa sasa yana kiingilio

KANYEGELO

JF-Expert Member
Joined
Nov 12, 2019
Posts
2,304
Reaction score
5,007
Wanajamvi habari poleni kwa wale tuliofungwa. Poleni pia wale mliokosa connection mjini kuchek ile vdeo iliyovuja. Hongereni sana Yanga. Hongereni pia wanawake

Hivi jamani tunakoenda ni wapi kwa sasa hivi mbona kama mapenzi yanaenda kasi sana kuzidi hata reli yetu ya kisasa

Sijajua !! Nimefikisha kama mara mbili hivi ...kila nikitongoza mwanamke ndani ya diku lazima niombwe hela na hapo hata mzigo cjapiga wala kuuchungulia tu

Kuna mmoja kama. Nina kama wiki yupo geita alikuja town baada ya kumzungusha na tukala na mengine sikuwa na haraka naye ya kumla sikutaka ajue kama na njaa na hivyo vitu

Kafika home kwao ananitext ooh naomba unisaode hela ya mtaji nia zeshe biashara ya sendo ni kamjibu bac sawa ngoja nifikirie nione nakusaidiaje huyo nikawa nimechomoa hivyo

Mwingine mzee baba nimeona kimya mara namtext kumjulia hali ni madamu mmoja. Hivi ...nashangaa naombwa laki 1 ,atanirudishia baada ya salary kutoka

Na hapo kuna mwingine nilimtoa 50,000/- kanikaushia mpk leo ......hapokei hata cm yangu namuona tu jf na uzi wake wa kutafuta mume

Hivi mapenzi sasa hivi mpk utoe kingilio ndio ulainishe mambo? Wakongwe hebu njooni mnipe trick kuwa nachomoo viingilio kama hivi maana kama kuwa kama kamchezo sasa





sent from toyota Allex
 
Wewe tafuta pesa mzee baba. Yaani tafuta pesa hadi ifike point ukitaka mwanamke, unaomba tu namba yake ya simu, halafu unatanguliza muamala wa laki kadhaa, unamwambia mimi nimekukubali sana, naomba tuwe pamoja. Akikataa unamuongezea laki kadhaa zingine.

Acha kulia lia mzee baba. Wadada watakula machozi yako?
Nasisitiza tena TAFUTA PESA.
 
ww acha tu mkuu

speed n zaidi ya drone za kimarekani
 
ww acha tu mkuu

speed n zaidi ya drone za kimarekani
Ukizubaa lazima utembezewe za uso ..wanawake wengi wamekuwa after money zaidi...na hata ukiwapa usitegemee kupendwa heli mtu akujie mapema kama huna huna ila aamue mwenyewe ...poleni kaka zangu ..ndio sasa hiv bila kiingilio mambo hayanogi kbs

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mkuu, unatakiwa uhakikishe unakula mzigo mapema kabla hujaanza kuombwa hela au tumia fursa hyo kuwala tu.

find one bitch and crown her a queen. utasave drama.
 
Maisha Kwa sasa yanahitaji akili sana,

Nishaacha kutongoza wanawake toka miaka miwili iliyo pita baada ya kugundua kuwa ukimtongoza mwanamke yeye ni kama umemtangazia ajira,

Siku hiz ni bora nijinunulie Malaya nigonge zangu alafu niendelee na mambo yangu,

Kukaa kwenye mahusiano ya dunia ya sasa ni kujitafutia stress na kuharibu uchumi wako bure.

kwenye salary yangu nimejiwekea 80k Kwa ajili ya Malaya kila mwezi,nina chimbo langu la Malaya najichukulia mzigo Kwa 15k na wamenizoea mpk wananiita mdogo wao,Nikipaki chuma tu,hawa hapaaa.
 
Maisha Kwa sasa yanahitaji akili sana,

Nishaacha kutongoza wanawake toka miaka miwili iliyo pita baada ya kugundua kuwa ukimtongoza mwanamke yeye ni kama umemtangazia ajira,

Siku hiz ni bora nijinunulie Malaya nigonge zangu alafu niendelee na mambo yangu,

Kukaa kwenye mahusiano ya dunia ya sasa ni kujitafutia stress na kuharibu uchumi wako bure.

kwenye salary yangu nimejiwekea 80k Kwa ajili ya Malaya kila mwezi,nina chimbo langu la Malaya najichukulia mzigo Kwa 15k na wamenizoea mpk wananiita mdogo wao,Nikipaki chuma tu,hawa hapaaa.
Pole sana mkuu kwa maagano unayoyalimbikiza sidhani kama utakuwa salama
 
Ukipendewa hela ujue tu kiasi chako cha hela ni kama urefu,kuna aliyekuzidi na uliyemzidi. Changamoto ni uwezo wa kumridhisha kwa hiyo hela.Tamaa haiishi kwa mwanadamu,akipata hiki kesho anataka zaidi. Na wadada wa siku hizi utadhani watazikwa na makontena ya vitu.wana accumulate mno.

Jiandae kisaikolojia kupambana na waliokuzidi maisha yako yote. Wanawake wazuri bado wapo,wanahitaji subira sana na mwanaume mwenye utulivu wa kiakili kuwapata.Wanaume wengi sasa wako kwenye mashindano ya wanawake na wanaume wenzio,ndio maana wanachosifia ni rangi na tako. Ukitulia utatizama pia utu na akili ya mwanamke na utatunza kwa kupenda kwako sio kudangwa.
 
Mbona na nyie men mpo wengi tu mnaopiga vizinga kwa wanawake?
Au kwakuwa wanawake hawasemi?
Wewe huna pesa unajiliza liza tu hapa umeombwa elfu mia moja, acha kudhalilisha wanaume Wa shoka ambao hawaombwi pesa kabla hawaguswa yaani ile kiroho anapata hisia kuwa akaunti ya lady wake haina salio la kutosha man anarusha salio mwenyewe.
Tafuta pesa uwe mwanaume na nusu sio unalalama.

Next time uwaulize wanaume wanaowezeshwa miamala na ladies wao humu wanakutazama tu wanakuona wewe bado mvulana hujui life situations hata kidogo.
Halafu na nyie wanaume mnaotizama hawa wavulana daily wanaleta dharau za kuwasema wanawake humu wakati mnajuwa fika jitihada za wanawake kuwezesha mipambano kwenye familia na hamtoi credit hadharani mna maana gani au mnataka tuunde chama cha kuwa tunawataja? Mnatambua hatuwezi wadhalilisha japo tunaona vile hamtutetei hapa.
Leo siku ya wanawake mngeleta hata nyuzi zenye heading like " jinsi mke wangu anavoniweka mjini".... Nampongeza first lady wangu amenipa mtaji, n.k
Wengine wanaume humu wanasomeshewa watoto na wanawake plus kununuliwa hadi ndinga mbona wanawake hawalalami?

USIRUDIE TENA HUU UJUHA WAKO UNAJUDHALILISHA SANA KISA ELFU MIA MOJA TU.
UMENIKERA SANA MPAKA MWANAUME NA NUSU NILIEKAA NAE HAPA ANANISHANGAA TU JINSI NILIVONUNISHWA NA HUU UTOTO WAKO...
 
Waache kuwasema wanawake ilhali wapo wanaume wanaofuata pesa pia kwa wanawake mbona hawasemwi?
Ukipendewa hela ujue tu kiasi chako cha hela ni kama urefu,kuna aliyekuzidi na uliyemzidi. Changamoto ni uwezo wa kumridhisha kwa hiyo hela.Tamaa haiishi kwa mwanadamu,akipata hiki kesho anataka zaidi. Na wadada wa siku hizi utadhani watazikwa na makontena ya vitu.wana accumulate mno. Jiandae kisaikolojia kupambana na waliokuzidi maisha yako yote. Wanawake wazuri bado wapo,wanahitaji subira sana na mwanaume mwenye utulivu wa kiakili kuwapata.Wanaume wengi sasa wako kwenye mashindano ya wanawake na wanaume wenzio,ndio maana wanachosifia ni rangi na tako. Ukitulia utatizama pia utu na akili ya mwanamke na utatunza kwa kupenda kwako sio kudangwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Maisha Kwa sasa yanahitaji akili sana,

Nishaacha kutongoza wanawake toka miaka miwili iliyo pita baada ya kugundua kuwa ukimtongoza mwanamke yeye ni kama umemtangazia ajira,

Siku hiz ni bora nijinunulie Malaya nigonge zangu alafu niendelee na mambo yangu,

Kukaa kwenye mahusiano ya dunia ya sasa ni kujitafutia stress na kuharibu uchumi wako bure.

kwenye salary yangu nimejiwekea 80k Kwa ajili ya Malaya kila mwezi,nina chimbo langu la Malaya najichukulia mzigo Kwa 15k na wamenizoea mpk wananiita mdogo wao,Nikipaki chuma tu,hawa hapaaa.
Unaijua gharama ya kiroho ya hayo unayojisifu kwayo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom