Ushauri wa haraka Jaman

momara

JF-Expert Member
Jan 24, 2019
463
490
Mke wangu anajisikia maumivu sehemu ya juu ya papuchi. Maumivu yanaanzia sehemu ya juu ya K Kupanda juu na sehemu ya Kati ya matiti Kwa chini kidogo. Maumivu husambaa mpaka na maeneo Mengine ya mwili mpaka kunyanyua mguu anashindwa na hujihisi uchovu mpaka mikononi.

Yote haya yametokea leo wakati nachakata papuchi. Nimeishia njian na nahofia kuendelea hata Kwa badae mana aliniogopesha Japo namuona hapa anajinyanyua polepole.

Jaman shida hii nini Tatizo? Mana nlikaa kimya nsijue nini cha kufanya

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom