Nina kiasi cha mahusiano ya kimapenzi ya miaka 10 ambacho nikipata utaalamu wa kuandika itakuwa series nzuri sana

NOT ENOUGH

JF-Expert Member
Dec 8, 2010
596
307
Nina kiasi cha mahusiano ya kimapenzi ya miaka 10 ambacho nikipata utaalamu wa kuandika itakuwa series nzuri sana. Naomba muongozo kwa wenye uelewa katika anga hii. Kisa kiko hivi

1. Kumfahamu mpenzi wangu akiwa mke wa rafiki yangu
2. Tukaishi maisha kama family friends mimi nina family na rafiki yangu
2. Rafiki anaugua nikashiriki kumuuguza
3. Rafiki akafariki
4. Tukaingia kwenye mahusiano na shemeji nikiwa nina mke
5. Mke wangu akagundua wakagombana
6. Tukafungua makampuni na mchepuko
7. Baadae akapata mume akaolewa na mimi kurudi kwa mke
8. Tumebaki marafiki lakini bado ananipenda sana yuko tayari kwa xxx

The entire story has covered almost ten years
 
Hiyo series ikielezea tu hayo mapenzi haitajaa hata episode 2. Tafuta story nyingine kama main story then uwe unapachika na hizo love story zako kuchombeza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Upumbavu wa bongo filamu, hakuna character ambae unaweza tamani kuwa kama yeye, (means star ambae anaonesha kitu cha kufaa kuigwa na jamii) tunazidiwa hata na kirikuu.

Angalia kila MOVIE ya The Rock, uhusika anao ubeba.
Bongo wakibadilika watauza sanaaa..

NA BONGO MOVIE WASIPO BADILIKA, NITAKUJA KUIGIZA MWENYEWE.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom