Natafuta rafiki mwanaume

beathahenry

Member
Dec 18, 2013
47
60
Mimi ni mwanamke mwenye miaka 40 sijawahi kuolewa wala kuzaa.

Natafuta mwanaume ambae tayari ana watoto ila sio mume wa mtu tutasaidiana kulea awe na miaka kuanzia 40.

Najitegemea nina kwangu na nasaidia ndugu zangu wasiojiweza kulea watoto wao.

Wenye maswali na comments za kejeli mnakaribishwa pia.

Asanteni.
 
Njoo kwangu ila hio miaka sina wala sijaoa kama ni campan tu usiogope ila kwa mambo mengine Mungu hapendi.
 
Mimi ni mwanamke mwenye miaka 40 sijawahi kuolewa wala kuzaa.

Natafuta mwanaume ambae tayari ana watoto ila sio mume wa mtu tutasaidiana kulea awe na miaka kuanzia 40.

Najitegemea nina kwangu na nasaidia ndugu zangu wasiojiweza kulea watoto wao.

Wenye maswali na comments za kejeli mnakaribishwa pia.

Asanteni.

Kwa kweli wewe ni chuma cha reli!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom