X wangu anataka turudiane

Passed

JF-Expert Member
Dec 15, 2017
561
156
Tuliachana mda mrefu nilimwacha mimi baada ya kugundua ana mtu wak man alivyofik kwangu hakunambia ka ana mtu nilimpenda kupitiliza lakini nilivyogundua nikamwacha sasa huo mda tuloachana mimi nishazalishwa mtoto na nishaachana na baba ake x wangu nilompenda anataka turudiane still ananipenda na hajui kama nina mtoto nifanyeje

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata sisi haujui ufanyaje

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwambie ukweli, kwamba tayari una mtoto na kama una mtu wako mwingine. alafu baba wa huyo mtoto wako upo naye ?unampenda ? Anakupenda ? U have to move on achan na past

Sent using Jamii Forums mobile app
Baba mtoto nishaachananae ila uyu x wangu nilimpenda had nilikuw sijielew nilivyoachananae ndo nikaw na uyu baba mtoto ambay nilimpenda normal mana nilivyoachan na x wangu haikuchukua hata mwez nikaw na uyu baba mtoto

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tuliachana mda mrefu nilimwacha mimi baada ya kugundua ana mtu wak man alivyofik kwangu hakunambia ka ana mtu nilimpenda kupitiliza lakini nilivyogundua nikamwacha sasa huo mda tuloachana mimi nishazalishwa mtoto na nishaachana na baba ake x wangu nilompenda anataka turudiane still ananipenda na hajui kama nina mtoto nifanyeje

Sent using Jamii Forums mobile app

Huyo X anakudangaya,wala hakupendi

Usirudi​
 
Baba mtoto nishaachananae ila uyu x wangu nilimpenda had nilikuw sijielew nilivyoachananae ndo nikaw na uyu baba mtoto ambay nilimpenda normal mana nilivyoachan na x wangu haikuchukua hata mwez nikaw na uyu baba mtoto

Sent using Jamii Forums mobile app
Duh yaani mwezi tuu ulishamreplace uliyempenda ki kweli kweli. Mbona kama unatupiga somjo kuhusu kumpenda ex wako kihivyo.
 
Pregabalin

Huyo aliyekuzalisha ndio umrudie...

We kila mwanaume utakuwa unazaa nae mtoto?
Unajisikiaje kila mtoto kuwa na baba zake?

Take risk rudi kwa shina la kwanza,,,

Juhudi unazotaka kumrudia huyu ex ambaye yeye anataka tu tunda lako baada ya mda najua hata yeye atakushindwa,wala hauna nae mtoto,ni kama mnaanza upya..

Take risk..
Kama yalikushinda ya baba wa mtoto hata huyu yatakushinda tu...
 
Baba mtoto amenigomea msamaha hanitaki kasem ana mwanamke mwingine na tuna ugomv mkubwa tu hataki kunisamehe amekomaa kabisa tuachane mungu hakupenda tuwe pamoja

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tuliachana mda mrefu nilimwacha mimi baada ya kugundua ana mtu wak man alivyofik kwangu hakunambia ka ana mtu nilimpenda kupitiliza lakini nilivyogundua nikamwacha sasa huo mda tuloachana mimi nishazalishwa mtoto na nishaachana na baba ake x wangu nilompenda anataka turudiane still ananipenda na hajui kama nina mtoto nifanyeje

Sent using Jamii Forums mobile app
Kadandia treni kwa mbele,,mgongee tu,,tangu lini nyie mnahuruma mpka Leo unataka kujifanya Kama unajaali!!!
 
Tuliachana mda mrefu nilimwacha mimi baada ya kugundua ana mtu wak man alivyofik kwangu hakunambia ka ana mtu nilimpenda kupitiliza lakini nilivyogundua nikamwacha sasa huo mda tuloachana mimi nishazalishwa mtoto na nishaachana na baba ake x wangu nilompenda anataka turudiane still ananipenda na hajui kama nina mtoto nifanyeje

Sent using Jamii Forums mobile app
Rudianeni tu
 
Back
Top Bottom