Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Usiku wa jana nimeangalia movie mpaka saa 7 za usiku, nikaacha kuangalia movie nikachukua simu yangu na kuanza kubeti. Nikiwa katika panga pangua ya mikeka yangu, na kusikilizia matokeo...
10 Reactions
135 Replies
13K Views
Tumeachana mwezi wa kwanza lakin mi bado nampenda na ninamkumbuka mda wote chanzo mara ya kwanza akaomba yeye tuachane sababu ni kwamba kila kitu nalalamika kuhusu yeye akanambia kwamba mimi naona...
1 Reactions
42 Replies
5K Views
Kumekuwepo na Maswali Mengi yanawazunguka vijana, ni nani anatakiwa kuwajibika nini ? Mwanzo wa mahusiano, Check hizi facts[emoji116] Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
5 Replies
3K Views
Baada ya salamu nianze kwa kusema ya kuwa kuna wimbi kubwa la wanadada kudai kuwa eti wanaume wa siku hizi hawajui kubembeleza wanawake. Hili suala miaka ya nyuma enzi za wazee wetu halikuwako...
12 Reactions
71 Replies
13K Views
Wasalaamu..!! Nipo katika harakati za kupingana na nafsi yangu kusaka kimwana, atakayenifaa hatimae nimtunuku ndoa, nimkabidhi uhuru wangu na maisha yangu kwa ujumla. Katika zoezi hili, nimekuwa...
26 Reactions
216 Replies
19K Views
Mwaka 2018 niliingia kwenye mahusiano na mdada Fulani hivi, ilipofika mwezi 10 tarehe 30 tulikutana nyumba ya wageni tukainjoy. Kama unavyojua penzi jipyaa, nikala mzigo baada ya kutoka ilikua...
0 Reactions
31 Replies
4K Views
Kwa matukio yanayoendelea sasa kila siku kwenye social media inahiridhisha bila shaka wanawake walio wengi ni viumbe katili sana! Wanaume wenzangu weka mtoto wako mbali na hii kitu inaitwa mama wa...
1 Reactions
12 Replies
1K Views
Utangulizi: December 2018 Nilienda musoma kumtembelea rafiki yangu wambura. ilipofika siku ya sabato wambura aliniambia tukasali sabato kwa sababu kwao wambura wote ni wasabato nami sikuwa na...
1 Reactions
22 Replies
5K Views
Ninakumbuka familia moja ya Wahindi nikiwa mdogo. Mke na mume wote walikua madaktari wa macho. Walijaliwa kupata watoto wawili wakiume na wa kike. Walikua na clinic yao ya macho kwenye nyumba...
12 Reactions
27 Replies
4K Views
Vipimo hivi havipimi virusi hata mmoja wa HIV-VVU na haitakuja kutokea hata siku moja kipimo hiki kikaacha kupima kinga za mwili na kikawa cha VVU hila hilo halipo kamwe na haitakuja kutokea...
0 Reactions
59 Replies
6K Views
Ni utafiti.. Usinimbie niliufanyia wapi ila moja ya vyanzo vyangi ni hapa hapa JF, Hata kama tinatimia ID fake ila mara nyingi vile ambavyo tunaviwasilisha ndiyo huakisi maisha yetu halisi Moja...
1 Reactions
43 Replies
5K Views
Wakuu salute kwenu. Sina mengi ya kueleza ila nataka kusikia machache toka kwenu kuhusiana na hiki kitu kinachoitwa ndoa. Mara nyingi watu hupenda kufanya sherehe au harusi baada ya kufunga...
0 Reactions
9 Replies
4K Views
Kwako my wife, Katika mizunguko yangu ninahisi nimebeba virusi vya korona. Kutokana na hili naomba unielewe kwamba sitaweza kurudi kuanzia leo mpaka pale nitakapo kutaarifu. Nimewekwa karantini...
2 Reactions
5 Replies
1K Views
Nahitaji msaada mkubwa sana ili niweze kushinda hili. Nilikuwa nafany kazi ambayo alinitafutia mama yangu. Nimefanya kwa muda, baadaye nilihitaji kujiendeleza. Nilivyomwambia kuwa naacha nataka...
3 Reactions
51 Replies
5K Views
[emoji3544][emoji724][emoji845] 1. Usijitengenezee Mahusiano mengine yanayozidi Mahusiano yako na Mwenzi wako: Pasitokee MTU mwingine (wa jinsia yeyote) ambaye atakuwa na umuhimu wa juu zaidi...
4 Reactions
9 Replies
5K Views
Kweli wapo watu wa hivi kweli kwa dunia ya sasa? Mtu alie kisa ameachwa au hapendwi na mtu anayempenda au ametendwa? Hapa namaanisha kulia kwa namna yoyote ile kisa mapenzi? Kulia kisa mapenzi ni...
3 Reactions
45 Replies
6K Views
Copy & Paste #MWANAMKE #ALIYEACHIKA #ANAANDIKA* Ninaandika haya ili uelewe kwamba ni vizuri kuwatambua wenza wetu na mchango wao licha ya mapungufu yao. Nina umri wa miaka 32. Mimi na mume...
5 Reactions
6 Replies
2K Views
Nachukia sana watu wanao wasema madereva ni malaya wakati si kweli.Kama ni umalaya watu wengi kama vile wale wenye vipato vya kati na juu pia ni malaya sana watokapo kwa majumba yao.Sipendi...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Ikamburudishe Usiku huu mtulivu wa Weekend IKIKUPENDEZA imfikie Hata Alie nje Ya Jf mradi tu ni Crush wako Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Kwa Mara nyingine nimekutana na demu wa kilokole ,baada ya kumtokea amenijibu msg ya kutoka 2 Korintho 6:14-21 ,hivi hawa mademu wa kilokole wanamambo gani lakini yaani nimeshindwa hata kuelewa...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Back
Top Bottom