Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Kazi ndogo sana...Mwambie nitakuoaa![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119] Huwa wanawehuka kabisaa yani anaweza hata kujilipia Mahari ili umuoee..akakuhudumia kwa pesa...
3 Reactions
52 Replies
5K Views
Habari zenu wanajukwaa wa jukwaa pendwa kabisa humu jf. Wanawake wana tabia moja hivi ambayo nadhan kila mwanaume ana experience from them. Tabia yenyew ni kuchelewa kufika kwnye appointment au...
3 Reactions
101 Replies
51K Views
USIANGAIKE KUSAKA CHIMBO JIPYA,HISIA ZINATIBIKA. Oooh zamani tulienjoy mnoo sex,ila sasa,,,, Duuuuh nikipanda Mara moja Sina hamu. Mke nae Wala viungo havisisimki Kama mwili umekufa...
3 Reactions
23 Replies
3K Views
salute wakuu nimekuwa nakutwa na hili tatizo la kupenda kuhama hama. Yaani nikiwa mkoa mmoja lazima nitahama niende mwingine. Kama nimepanga nyumba labda mbagala nitahama niende bunju then...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Heshima kwenu waungwana Mara nyingi tunapoingia kwenye mahusiano ya kimapenzi huwa hatufikirii kuachana ila suala la kuachana hutokeaga kama bahati mbaya tu kutokana na sababu mbalimbali...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Kama kichwa kilivyo hapo juu, Imezoeleka kuwa mwanaume ndio huomba penzi kwa mwanamke, na sio mwanamke. Wanawake mjifunze kuwaomba unyumba wanaume zenu ili mdumishe na kunogesha mapenzi.
10 Reactions
222 Replies
25K Views
Utundu, utani, maneno makali, kujali, kuchepuka kisayansi ndio kunakonifanya nidumu kwenye ndoa. Ni vitu vidogo vidogo sana, lakini ukivipangilia na ukavitumia kwa muda sahihi ndoa yako itakuwa...
4 Reactions
34 Replies
8K Views
Wakuu achana na ile mada mnayonishambulia mkidhani huyo mke aa mtu nmemgegeda kumbe hapana. shuka na hii.. mke aa mtu ambae anasimamia hii nyumba tulizoeana kuitana shemeji, mara kwa mara, na ana...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Sitaisahau hii. Nikiwa zangu Advance form V kuna manzi moja nilikua namkubali sana, nilimsumbua sana lakini akawa anakaza, nikajipa moyo ipo siku atakubali, nakumbuka kuna siku akaniambia...
8 Reactions
155 Replies
17K Views
Ipo hivi, mara nyingi wadada mnateswa na midomo yenu kwenye ndoa, mnaropoka mnajibizana, mnakalipia utadhani na wewe ni mwanaume, midomo yenu miepesi kutoa neno bila kuchuja kwa waume zenu Sasa...
2 Reactions
27 Replies
3K Views
Kuna ongezeko kubwa hasa wadada wakitafuta wenza wa kiume hapa JF! Sasa nawapa ushauri! Mara nyingi wababa tunavutiwa na vitu viwili mara ya kwanza ukimuona mdada: ni sura na umbo kama vile chura...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Mchungaji kaongea facts sana! Binafsi nimefurahi!! Tazama video hii hapa!
1 Reactions
12 Replies
3K Views
Hapa nazungumzia vibarua viliowahi kuota nyasi kisa unatupia pamba Kali hadi boss anaonekana mfanyakazi wako na hii kupelekea kufanyiwa figusifigusi hadi kufukuzwa kazi tukutane hapa! Kwa kifupi...
5 Reactions
13 Replies
4K Views
Kwamba ukimuona Binti Fulani au Mwanamke Fulani anaonyesha Upendo mkubwa kwa Rafiki yake wa Kike / Mwanamke ambaye ana Mpenzi wake au Mumewe ( mwenye uwezo Kiuchumi ) basi jua ya kwamba hapo kuna...
2 Reactions
7 Replies
2K Views
Wakuu, hali yangu ya kiuchumi sio kwamba ni mbaya, HAPANA! nipo vizuri tuu napata ninachokitaka ila sasa kuna mtihani umenijia! Kuna mama mmoja hivi mmiliki wa mabus ya mkoani, pia ana hotel...
0 Reactions
32 Replies
2K Views
Habari waungwana : Jamani naomba kuuliza hivi kwanini Wanaume wa Pwani wanajua sana mahaba tofauti na wale wanaume wa bara Wanaume wa bara kwenye kuonga aswa kina ngosha wapo vizuri hatari ila...
19 Reactions
389 Replies
33K Views
Kiburi, dharau, kauli chafu, ugomvi, ubishi na kero nyingine nyingi saaaaana vyote vya kwao. Nasubiri ajifungue huyu akirudia kufanya mawili au matatu kati ya hayo niliyotaja namrudisha nilipomtoa.
29 Reactions
135 Replies
11K Views
Pamoja na kuwa kama taifa tuko kwenye taharuki ya gonjwa Hili la corona lakini hii haituzuii sis wanaume kuendelelea na mapambano yetu ya kila siku. Na mapambano yetu siku zote hayakamiliki bila...
7 Reactions
132 Replies
22K Views
Leo nimeamka nikakumbuka 2 years back ambapo nilifanya kituko cha kijinga sana lakini ndicho kilichobadili historia ya maisha yangu. Nilikuwa na boyfriend wangu niliyemuheshimu na kumpenda sana...
107 Reactions
228 Replies
28K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…