Ni faida gani na hasara gani unaipata pindi unapoachana na mpenzi wako ?

Zero Competition

JF-Expert Member
Sep 12, 2018
310
451
Heshima kwenu waungwana

Mara nyingi tunapoingia kwenye mahusiano ya kimapenzi huwa hatufikirii kuachana ila suala la kuachana hutokeaga kama bahati mbaya tu kutokana na sababu mbalimbali.

Binafsi ninapoachana na mwanamke faida kubwa ninayoipata ni kutumia pesa yangu peke yangu.Nasema hivyo kwasababu mpenzi ambae nimeachana nae anakuwa hayupo kwenye bajeti zangu kabisa.

Hasara kubwa nitakayoipata ni kukosa mtu wa kufanya nae mapenzi na kupunguza genye zangu kwa muda flani hasa kama mpenzi nilieachana nae alikua yeye peke yake bila ya kuwa na msaidizi wake (mchepuko)

Je wewe huwa unapata hasara gani na faida gani pindi uachanapo na mwenzi wako ?
 
Back
Top Bottom