Sijawahi kuoa wala sina mpango. Nataka mwanamke wa kumzalisha tu nilee watoto wangu

Kwa jinsi mahusiano ya watu wengi yalivyo hivi sasa nimekata kabisa hamu ya kuoa

Wanawake karibu asilimia 98% wanasaliti ndoa zao hata wale ambao hukuwadhania

Inavunja sana moyo hata wa kuingia kwenye ndoa tusije kufa na presha

Kwasasa nimeamua kutafuta mwanamke wa kumzalisha kwa kumlaghai nitamuoa akinizalia mtoto tu namalizana nae

Rafiki yangu mmoja alinishauri kama ni hivyo nitafute single mother mmoja ndio nimzalishe kwa maana wale wanakuwaga na stress za kutaka kupata mtu was kudumu nae.


Je wewe unanishaurije
Ndo shida yenu...
1. Mnadhani ndoa inasumbuliwa na usaliti pekee
2. Mnadhani asipokusalitu badi mambo mswano
3. Mnadhani msipoowa mnakuwa salama
4. Mnadhami matatizo wanayo wanawake pekee

WAPO WANAOPATA SHIDA ZA KWENYE NDOA, NA HAWAPO NDOANI... take it from me...

We zaa na huyo mwanamke, halafu utakuja jua kuwa kumbe mtoto anaweza akatumika kukupa stress za kwenye NDOA na huku upo singo

Mjijue mmeowa na guku .mkiwa singo

Tafakari na uchukue hatua

Kifupi hakuna mtu single... ila kuna mtu ambaye hajadiclare commitment
 
Ndo shida yenu...
1. Mnadhani ndoa inasumbuliwa na usaliti pekee
2. Mnadhani asipokusalitu badi mambo mswano
3. Mnadhani msipoowa mnakuwa salama
4. Mnadhami matatizo wanayo wanawake pekee

WAPO WANAOPATA SHIDA ZA KWENYE NDOA, NA HAWAPO NDOANI... take it from me...

We zaa na huyo mwanamke, halafu utakuja jua kuwa kumbe mtoto anaweza akatumika kukupa stress za kwenye na huku upo singo

Tafakari na uchukue hatua
Aisee mbona unanikatisha tamaa kabisa sasa
 
Kama huna akili za kuendesha familia basi epuka kabisaaa kuzaa, utakuwa umeiepusha jamii na majanga yasiyo ya lazima.

Ila pia tujitafakari kama wazazi/walezi ni kizazi cha aina gani hiki tunakiandaa
Tatizo siku hizi watu wanacheat sana
 
Back
Top Bottom