Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Binafsi ilishawahi nitokea hii kitu Kuna manzi tulifahamiana kwenye moja ya mtandao wa kijamii baada ya siku kadhaa tukajikuta tumeingia katika uhusiano wa kimapenzi. Kilichofanya nimuache huyu...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Katika mizunguko yako ikiwa umeonana na mwanamke nawe ukajiongeza juu yake. Mwanamke naye akaamua kujiongeza juu yako kwa kukufanya ATM machine huku akikizuga kwa vimeseji vya I love you na...
6 Reactions
60 Replies
10K Views
Assalaam Alaykum! Mm ni mwanamke wa Kiislam umri (30),Sijawahi Kuolewa na wala sina mtoto Nahitaji Mume Mwenye Sifa hizi:- Awe Muislam, Awe yuko ndani ya Ndoa tayari, Umri kuanzia 35-50, Awe...
34 Reactions
190 Replies
16K Views
Katika kupitia uzi pendwa mzee Jason Bourne na Mkuu Kiga wametuonesha kuwa kusoma vitabu vilisaidia wao kujua jinsi ya kupata nywila za wenzi/wapenzi wao. Wanadau naombeni vitabu mlivyosoma ili...
0 Reactions
28 Replies
5K Views
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 28, natafuta mke mwenye status kama yangu. Kama yupo tayari anitext pm kwa maelewano na maelezo zaidi umri asinizidi miaka mitano.. Sent using Jamii Forums...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari zenu natumai ni wazima kuna tabia kwakweli humu sijapendezwa nayo unakuta MTU anapost anahitaji mwenz wanakuja watu na kuanza kumdhihaki kumsema na kejeli kiukweli huo ni ushamba.kama hauko...
4 Reactions
5 Replies
1K Views
Mademu wa mitandaoni mfano - jamii forum - Instagram -facebook -Snapchat - Badoo Twitter and others social network kiukweli sio wasuuupu/ wakali / pini/ mashine kuliko hawa tunaokutana nao live...
2 Reactions
12 Replies
1K Views
Kwa wale wenye imani kali ambayo inawapa uvumilivu wa kufanya sex na wachumba zao hapa nawapa dawa nzuri bila kusahau wale ambao mmeshatafunana au kuingia kwenye ndoa changa. Siku mkifunga ndoa...
26 Reactions
107 Replies
17K Views
Heshima kwenu waungwana Kwenye mahusiano ya kimapenzi vijana huwa tunapitia changamoto nyini sana ambapo kuna wengine hushindwana na kuachana lakini kuna wengine ambao wanavumiliana hivyo hivyo...
4 Reactions
39 Replies
9K Views
Mfanye mkeo/mumeo kuwa rafiki Sisi wengine wapembeni ni wanafiki tu, likikukuta la kukuta ni wewe na uliyenaye au familia yako kama iko karibu na wewe. Sisi wengine tutakupamba kwa maneno mazuri...
2 Reactions
13 Replies
2K Views
Sorry Johns but my experience with you ain't so good, i usually find you to be 1- One dimensional thinker ( close minded) 2- Lacking knowledge but you feel to be knowledgeable. 3- You are so...
1 Reactions
36 Replies
2K Views
Wanawake wamekua wakilalamika kwamba kwasasa wanaume tumekua hatuperfom vizuri kwenye mechi zetu, wamekua wakituita vibamia, hatuwarizishi, wanawake wengine wakaenda mbali zaidi wakadai kwamba...
1 Reactions
23 Replies
6K Views
Kutokana na kauchunguzi kadogo nilikokafanya nimegundua wake za watu wanaokwenda gym kujidai wanaenda kufanya mazoezi zaidi ya 80% hutafunwa hukohuko na wale trainer asipotafuniwa huko basi...
13 Reactions
61 Replies
12K Views
Habari wana MMU,,,? moja kwa moja niende kwenye mada kuwa miaka michache huko nyuma nilikua na mahusiano na binti mmoja hivi .. Kipindi Naanza chuo mana nilivyomaliza form six sikuunga chuo...
31 Reactions
238 Replies
20K Views
Tuna wacha Mungu wengi sana washika dini weledi wa mambo wanaotumainiwa na wenye hekima! Wengine ni viongozi wa kaliba mbali mbali. ..ni hawa wote pamoja na wanajamii wengine kuna vitu wakifanya...
17 Reactions
76 Replies
8K Views
Wakuu kwema? Kabla ya mada yangu napenda kuwakumbusha kuwa tayari Corona iko Tanzania hivyo tuchukue tahadhari stahiki. Tukirudi kwenye mada; Slay Queens ni wasafi, wana lugha tamu, wanajua...
0 Reactions
41 Replies
7K Views
Hope you are doing well my learned friends. I first of all send my condolences to all families already affected by the COVID-19 disaster and to the nation. I have been quiet for a while but...
4 Reactions
94 Replies
8K Views
Wakuu nawasalimu Baada ya salamu moja kwa moja kwenye kiini cha mada. Kitendo cha kutoa mahari wakati wa kuoa/kuolewa ni utamaduni wa kizamani ambao umepitwa na wakati Vijana wengi wameshindwa...
7 Reactions
94 Replies
10K Views
Habari za muda huu mabibi na mabwana! Natumai mu wazima wa afya Samahani kama bandiko hili haliko sehemu sahihi Mimi ni kijana wa kiume (miaka 29, sijaoa), mwenyeji wa mkoa wa Mwanza. Kwa muda...
3 Reactions
63 Replies
6K Views
Hivi kwann wanaume wakishindwa kazi kazi kwa bed huwa wanaona aibu? Lemme put it clear unakuta mtu eti yupo na gf wake then jissing and cuddling mpaka amedinda then hawezi sex mpaka aangalie porno...
3 Reactions
22 Replies
4K Views
Back
Top Bottom