Utundu, utani, maneno makali, kujali, kuchepuka kisayansi ndio kunakonifanya nidumu kwenye ndoa

Equation x

JF-Expert Member
Sep 3, 2017
28,811
39,046
Utundu, utani, maneno makali, kujali, kuchepuka kisayansi ndio kunakonifanya nidumu kwenye ndoa.

Ni vitu vidogo vidogo sana, lakini ukivipangilia na ukavitumia kwa muda sahihi ndoa yako itakuwa ni ya furaha na amani tele.

Hutomsumbua mpenzi wako akupe tendo pale yeye ambapo hajisikii, muda mwingi utakuwa uko bize kwenye uzalishaji n.k bado miaka 2 nitimize miaka 15 ambapo naona kama bado nachumbia vile.
 
Acha uongo mzee
Uhuni utaacha lini
IMG-20200317-WA0008.jpeg
tapatalk_1496328033797.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inawezekana mkeo anajua yote ameamua Tu kupotezea..
Au ana cheat kisayansi kuliko wewe anaku enjoy tu..
Au bahati Tu huna ujanja wowote uliokusaidia..
Mambo ya ndoa Yana mambo mengi sana..
 
Inawezekana mkeo anajua yote ameamua Tu kupotezea..
Au ana cheat kisayansi kuliko wewe anaku enjoy tu..
Au bahati Tu huna ujanja wowote uliokusaidia..
Mambo ya ndoa Yana mambo mengi sana..
Kuna mwaka fulani nilitoka na mchepuko mmoja, baada ya kufika home jogoo asimami....hapo ilibidi niwe mkweli
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom