Cash Generating Unit
JF-Expert Member
- Jan 12, 2019
- 13,284
- 39,511
Habari zenu wanajukwaa wa jukwaa pendwa kabisa humu jf.
Wanawake wana tabia moja hivi ambayo nadhan kila mwanaume ana experience from them. Tabia yenyew ni kuchelewa kufika kwnye appointment au outing, unaweza panga kutana na mpenzi wako lets say sa2 usiku ila akaja sa4 ni kawaida au tuseme ni jadi yao.
Binafsi nmetoka na galz tofauti almost wote mkipanga appointment lazma wacheleewe tu,Kwa mwanaume ambae hujawazoea hawa viumbe utaweza kumind kila siku na kupelekea hata kuharibika kwa appointment
Sasa wanaume fanya hvi kama mmepanga kutana usiku sa1 hapo yeye atakuja sa3 na sababu kibao[emoji23][emoji23] sasa hapo wewe ikifika sa12 huo muda mwambie umefika eneo la tukio then mwambie kuna warembo kibaoo kila angle[emoji23] hio itampa hamasa ya kufika haraka au mwambie umefika lakn endelea na mambo yako
Mwanamke akikwambia anajiandaa jua hta kuoga bado, akikwambia anakuja jua ndo anavaa[emoji23][emoji23] ni kucheza na akil zao tu.
Siri ya mwanamke ni kuchelewa na sio kuwai ukiona mwanamke anawai kabl yako lazma ushtuke dadeki huyo sio [emoji23][emoji23]
Sent from my iPhone using JamiiForums