Nilivoruka mtego wa mke wa mtu

Jstar1

JF-Expert Member
Aug 1, 2019
1,389
1,337
Wakuu achana na ile mada mnayonishambulia mkidhani huyo mke aa mtu nmemgegeda kumbe hapana. shuka na hii..

mke aa mtu ambae anasimamia hii nyumba tulizoeana kuitana shemeji, mara kwa mara, na ana mtoto, yule mtoto amenizoea akiniona full kuchangamka japo mtoto ni mdogo sana, ila ameniozda maana hua namnunulia karanga, pipi na juice.

mme na uyo mwanamke nae, kati ya wapangaji wote, kanizoea mimi, inafikia wakati anasema kama hauna kodi usilipe, namwambia usijali kodi ipo, na mda huo ata kodi haijaisha, japo pale wapangaji tuko wengi.

siku moja jion nmetoka kwenye mizunguko yangu, mara ghafla mke wake nlkua nmezoea anapenda kunichekea chekea, siku hio akanambia, shemeji, ukanisaidie kupiga msumali chumbani.

nkamuuliza msumali wa nini, akasema kuna ki mti cha kushikilia net chumbani, kimeanguka dahhh, nkamwambia sa mbona apa wapangani tuko wengin jamani, nkaanza kumtajia majina ya wapangaji wa kiume, akasema mm nmekuchagua wewe.

nkabadilika kama kupaniki, nkamwambia mimi siwezi, msubili mmeo aje akugongee, ila kiuhalisia, alikua amenitia kwenye mtego, sio kwamba nlmhisi vibaya, hapana, ila ule ulkua mtego, na niliuruka.

#stayAtHome, #be safe #CoronaITkill

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom