Wale tuliowahi kufanyiwa fitina tukutane hapa!

Muuza simu used

JF-Expert Member
Aug 23, 2017
4,393
7,039
Hapa nazungumzia vibarua viliowahi kuota nyasi kisa unatupia pamba Kali hadi boss anaonekana mfanyakazi wako na hii kupelekea kufanyiwa figusifigusi hadi kufukuzwa kazi tukutane hapa!

Kwa kifupi starehe pekee nayopenda kwa hii Dunia ni mwanamke {sio wanawake} na kuonekana nadhifu hata nikiwa nimelala usiku!na hali hii imenijengea uadui na wale wasiojiamini!

NB: Muonekano huongeza uwezakano

Sent by Diaspora
 
Muuza simu used,

Vipi yule ambaye amewahi kunyang'anywa Full Suit ya Scholaship ya kusoma Masters na PhD Ulaya kwa mpigo (yaani vyote viwili kwa pamoja, au "two in one"), na akaanza kufanyiwa mizengwe ili afukuzwe kazi na anaendelea kufanyiwa mizengwe hata leo mwenyewe vipi huu uzi haumfai?
 
Dah! Nilikuwa nazinyuka hadi balaa!
Ila boss hakuwa na roho mbaya kwangu.

Akatokea mkuda mmoja kazini, akaanza kuchonga maneno kwa wafanyakazi wengine hadi kunisema kwa boss.
Wana wakaniambia na mademu wananipa habari zake pia. Mara boss akaanza kama kuniwakia bila sababu!

Nikajikabidhi kwa Mungu tu, sikupenda kushindana naye! Ila nilianza kuwa mwoga aisee!

Sikuamini siku moja jamaa huyo huyo akafanya ikuda kazini, boss alipomuuliza; jamaa akamfokea boss live kama mtoto wake. Jamaa akafukuzwa kazi kizembe.

Haya mambo yapo ila naona kama utoto tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimefanyiwa sana figisu katika Maofisi mbalimbali km mara 6 hivi, ajabu sasa tangu ofisi ya kwanza kufanyiwa figisu, inayofuatia lazima ina posho kubwa na heshima kubwa kuliko nako toka, ivoivo kwa idadi hiyo!

Mbaya zaidi, x- wangu nina mtoto naye wa kike, alinifanyia figisu tena wazi kwa kunitamkia, ili nifukuzwe kazi, kupitia Boss wa kabila lake kazini kwangu! kweli kafanikiwa,

Ktk hali ya kuwa uliza why it happens? in-front of my eyes Boss yuleyule! katumbuliwa cheti fake, na mwingine Matumizi mabaya ya ofisi ya Umma!

Leo niko juu Hatari wanafikia mahali wanasemezana mimi ni Afisa usalama wa Taifa, tena wananiogopa si kawaida!
 
Hivi mwanangu wewe kuna kitu gani huja-experience

Maana naona kila kona upo.
 
Ukiona umeingia kwenye ofisi halafu hujaletewa majungu na kijicho basi jua wewe utendaji wako ni wa kawaida sana.

Ila katika maisha yangu yote hakuna sehemu ambazo huwa na majungu ya kipuuzi kama ofisi nyingi za Tanzania. Pia ofisi zile zenye Wakenya na Wanyarwanda wengi ni majungu tupu.
 
Ukiona umeingia kwenye ofisi halafu hujaletewa majungu na kijicho basi jua wewe utendaji wako ni wa kawaida sana.

Ila katika maisha yangu yote hakuna sehemu ambazo huwa na majungu ya kipuuzi kama ofisi nyingi za Tanzania hasa zile za umma na zenye Wakenya na Wanyarwanda wengi.
Daa! umesema uzuri mkuu ndiyo maana naliwaambia Watanzania nafaa kuwa Rais, maority walikubali, neutrality zero! keep in touch!
 
Back
Top Bottom