Wale walevi wa mabinti weusi wa kibantu tukutane hapa tafadhali

mwehu ndama

JF-Expert Member
Nov 12, 2019
543
1,824
Pamoja na kuwa kama taifa tuko kwenye taharuki ya gonjwa Hili la corona lakini hii haituzuii sis wanaume kuendelelea na mapambano yetu ya kila siku.

Na mapambano yetu siku zote hayakamiliki bila ndugu zetu, maua yetu, starehe yetu naam ubavu wetu nao si wengine bali wanawake.

Mim hua navutiwa Sana na wanawake weusi, ndio wanawake waliokatika uhalisia wao ingawa hata nikipata weupe huwa natafuna lakini navutika zaidi kama akiwa na weupe wa asili.

Mwanamke mweusi tiii, mwenye umbo la kibantu ni fahari ya macho.

Mimi siwezi kulala bila kumuona Kwa macho mwanamke mweusi mwenye umbo la kibantu maana nikilala bila kuwatia machoni hua naweweseka Sana

Hata napukua na nafasi huwa najipa tour za kuzurura zurura mjini ili nipate kukutana nao niridhike hata Kwa kuwatazama Tu.

Wanawake wengi wa mjini wanaopaka make up na kujichubua utamu wao umeshamalizwa na kemikali unaweza ukamchukua mchana ,jioni ikifika make up imeisha unakuta anafanana na DROGBA.

images%20(5).jpeg
images%20(10).jpeg
89910293_2740282759354002_4713977218701721600_n.jpeg
90444531_2738188742896737_3786442287685304320_n.jpeg
images%20(4).jpeg
images%20(11).jpeg
images%20(8).jpeg
images%20(1).jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom