Je Mabinti , Wanawake ( akina Mama ) kuna ukweli wowote ule hapa?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
63,657
Reaction score
128,073
Kwamba ukimuona Binti Fulani au Mwanamke Fulani anaonyesha Upendo mkubwa kwa Rafiki yake wa Kike / Mwanamke ambaye ana Mpenzi wake au Mumewe ( mwenye uwezo Kiuchumi ) basi jua ya kwamba hapo kuna mawili ama anamtengeneza ( anamzubaisha / anamzuga ) ili ampindue au tayari ameshaanzisha Mahusiano na huyo Mpenzi wake au Mumewe.

La nyongeza / kuongezea

Kama hujapata bado Tiketi ya Kuingia Uwanjani Kesho Wewe panda zako tu DalaDala lolote linaloekea kwa Mkapa kisha ukishuka zako tu pale Simama hapo hapo utakaposhuka basi kuna Watu watakuja tu ‘ Kukuingiza ‘ nasisitiza simama zako hapo utakapokuwepo kuna Watu watakuja ‘ Kukuingiza ‘ na mwishoni utasikia raha na burudani ‘ Kuingizwa ‘ Uwanjani.

Wikiendi ndiyo imeshaanza hivyo!

Nawasilisha.
 
Hili limetokea kwa yule demu wa Bongo movie aitwaye Irene Paul, amemuiba mume wa rafiki yake kipenzi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom