Supastar
Senior Member
- Mar 19, 2019
- 110
- 94
Ipo hivi, mara nyingi wadada mnateswa na midomo yenu kwenye ndoa, mnaropoka mnajibizana, mnakalipia utadhani na wewe ni mwanaume, midomo yenu miepesi kutoa neno bila kuchuja kwa waume zenu
Sasa kama sahivi mumeo au mpenzi wako HAKUSIKILIZI ujue tuu kuuanafanya hivyo makusudi kukuumiza ili ujione boya kwa maneno yako ya kumvua heshima, wadada yapimeni maneno yenu kabla ya kuyatoa
Sent using Jamii Forums mobile app