Naombeni ushauri

Naombeni ushauri

Applicant

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2020
Posts
1,962
Reaction score
1,757
Wakuu, hali yangu ya kiuchumi sio kwamba ni mbaya, HAPANA! nipo vizuri tuu napata ninachokitaka ila sasa kuna mtihani umenijia!

Kuna mama mmoja hivi mmiliki wa mabus ya mkoani, pia ana hotel zake, umri wake ni miaka 49 ananitaka kimapenzi.

Ananiweka kwenye wakati mgumu sana kwani ameniahidi kuwa msimamizi wa mabus yeye abaki na kusimamia hotel zake kwani yuko busy sana na mme wake alishafariki.

Mbaya zaidi kuna tetesi nilizisikia kua ameungua (ana Ukimwi).

Nashindwa nifanyaje, nilimgusia kuhusu tukapime Kwanza akaniambia nisijali yupo vizuri kiafya mimi nimkubalie tuu mengine yatafuata.

Nifanyaje? Nijilipue au nitilie maanani hizi tetesi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Changammia fursa hiyo kijana. Dawa ya ukimwi ilishapatikana... Kwanza mpaka kufa na ngoma ni miaka 30. Sasa shida iko wapi wakati papuchi unapata na mihela ipo.
 
Tilia
Wakuu, hali yangu ya kiuchumi sio kwamba ni mbaya, HAPANA! nipo vizuri tuu napata ninachokitaka ila sasa kuna mtihani umenijia!

Kuna mama mmoja hivi mmiliki wa mabus ya mkoani, pia ana hotel zake, umri wake ni miaka 49 ananitaka kimapenzi.

Ananiweka kwenye wakati mgumu sana kwani ameniahidi kuwa msimamizi wa mabus yeye abaki na kusimamia hotel zake kwani yuko busy sana na mme wake alishafariki.

Mbaya zaidi kuna tetesi nilizisikia kua ameungua (ana Ukimwi).

Nashindwa nifanyaje, nilimgusia kuhusu tukapime Kwanza akaniambia nisijali yupo vizuri kiafya mimi nimkubalie tuu mengine yatafuata.

Nifanyaje? Nijilipue au nitilie maanani hizi tetesi?

Sent using Jamii Forums mobile app
tilia maanani hizo tetesi
 
Watoto mfungue vyuo na shule mkasome

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama una hela za kujikimu na umefika umri huo bila kutegemea jimama una wasiwasi wa nini juu ya maisha yako.

Kwa hiyo umeamuna uwe *manamba* kwenye shamba la tajiri? Utumwa ulishakomeshwa tangu karne nyingi, kwa nn unataka uwe mtumwa wa Mapenzi katika umri ambao bado una Nguvu za kupambana kivyako?

Yes, kila mtu ana namna yake ya kutoka, lkn kutegemea uume na kuzama chumvini vikutoe kijana mwenzangu huo ni ujinga wa kiwango Cha kuona Corona Kama Mafua ya kawaida.

*Ushauri Wangu*
Kachume Janga Ule wa Kwenu!

Acha kumpotosha wewe mwache mwenzio atoke kimaisha.

Unafkir kukata kiuno wakat wa kula papuchi hali kwa jasho? Piga mama hyo
 
siku akikubali mkapime wewe ndio uchague wapi kwa kwenda kupima. Ishatokea maza mmoja kampanga docta then kiben10 kikaishia kukwaa gonjwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama una hela za kujikimu na umefika umri huo bila kutegemea jimama una wasiwasi wa nini juu ya maisha yako.

Kwa hiyo umeamuna uwe *manamba* kwenye shamba la tajiri? Utumwa ulishakomeshwa tangu karne nyingi, kwa nn unataka uwe mtumwa wa Mapenzi katika umri ambao bado una Nguvu za kupambana kivyako?

Yes, kila mtu ana namna yake ya kutoka, lkn kutegemea uume na kuzama chumvini vikutoe kijana mwenzangu huo ni ujinga wa kiwango Cha kuona Corona Kama Mafua ya kawaida.

*Ushauri Wangu*
Kachume Janga Ule wa Kwenu!

Sent using Jamii Forums mobile app
Poa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naomba kuwasilisha.....
IMG-20200322-WA0004.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We jamaa mbona hizi hadithi zako Ni za kutunga

Sent from my TECNO LB6 using Tapatalk
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom