Wanawake mlioko kwenye ndoa: Mjifunze kuwaomba unyumba waume zenu

Ila kuna kaukweli ndani yake. Kuna mfanya kazi mwenzangu wakiume, leo kaniambia yuko mbioni kutafta mchepuko kumuuliza kasema tangu amuoe mke wake hajawahi kumuoomba penzi ila yeye tu marazote ndo anaanza. Akasema akiuchuna nawife anaka kimya, imepita sahivi kama week 3 hajamgusa na wife kimya chakusitjabisha mke wake anaanza kumfumbia hoo najua unamtu mara ooh najua anae kupa kiburi.
Sasa wanawake wenzangu shida zote zanini tuwe tunawaanza nacc sometimes inawavutia zaidi
 
Inavutia na kuwa tamu pia
 
Mimi nipo busy na kumfurahia Makonda na Raisi wetu, na joto hili looooo

AC kuwasha kusoma mazuri na hapa kazi tu ya Makonda kwa sasa.
 
Kama kichwa kilivyo hapo juu,

Imezoeleka kuwa mwanaume ndio huomba penzi kwa mwanamke, na sio mwanamke. Wanawake mjifunze kuwaomba unyumba wanaume zenu ili mdumishe na kunogesha mapenzi.
Fikirini, mme anarudi kwa mkewe baada kukaa siku kadhaa na tena amechokozwa mtaani lakini akijua atamalizia KIU kwa MKEWE anajibiwa leo taa nyekundu imewaka.

Mke akijua taa ya kijani inawaka aombe tendo la ndoa kwa ujasiri kabla ya taa ya njano kuwaka kwani Mme yuko sawa wakati wowote Mke akinyimwaga kichele !

Ni maumivu kwa mwenye KIU kuambiwa haiwezekani kwa visingizio visivyo maana.
Haipendezi Mme kukagua kama kweli mkewe yuko kwenye hedhi.
 
Ila kuna kaukweli ndani yake. Kuna mfanya kazi mwenzangu wakiume, leo kaniambia yuko mbioni kutafta mchepuko kumuuliza kasema tangu amuoe mke wake hajawahi kumuoomba penzi ila yeye tu marazote ndo anaanza. Akasema akiuchuna nawife anaka kimya, imepita sahivi kama week 3 hajamgusa na wife kimya chakusitjabisha mke wake anaanza kumfumbia hoo najua unamtu mara ooh najua anae kupa kiburi.
Sasa wanawake wenzangu shida zote zanini tuwe tunawaanza nacc sometimes inawavutia zaidi
Mkuu sio mimi kweli?
 
Back
Top Bottom