Unataka Umteke mwanamke awe lofa kwako?

rikiboy

JF-Expert Member
Feb 19, 2017
21,491
41,901
Kazi ndogo sana...Mwambie nitakuoaa! Huwa wanawehuka kabisaa yani anaweza hata kujilipia Mahari ili umuoee..akakuhudumia kwa pesa zake kama anafanya kazi..hadi akili zimrudie aisee umemvuna vya kutosha.


Hivi kina dada mkisikia neno ndoa why mnawehuka???
 
Back
Top Bottom