Hili suala ni muhimu sana kulijua...

Samcezar

JF-Expert Member
May 18, 2014
13,096
22,627
Habarini wanajamvi.

Katika pita pita zangu huko mtandaoni nikakutana na hili bandiko katika page ya mauki. Ni topic nyeti sana.....ambayo wengi tunaweza ona ni kawaida ila ni ukweli mzito.

Hebu tushare na kujadili hii hoja..........!
IMG-20200323-WA0047.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hhhhhh

Nawahi siti kwanza

Ila hakuna uhalisia wowote hapo.

Suala kubwa ni malezi.

Na maamuzi ya binti.

Binti vile anavyoishi ns wewe basi ameathiriwa na mambo mawili yaani malezi na maamuzi yake.

Anaweza akawa amelelewa vizuri lskini akaamua aishi anavyotaka yeye.

Na anaweza akawa alilelewa vibaya mno lakini akaamua aishi vizuri na kwa heshima

Kinyume na haya mawili basi others are just an assumptions

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yupo sahihi kwa kiwango kikubwa. Malezi ya wazazi na jamii yana athari sana kwa watoto.
 
Ni ngumu sana kumuelewa mwanamke hizo zote ni theory ambazo tunajitahidi kukisia kusema labda hivi au hivi lakini uhalisia ni kwamba huwezi kukielewa kiumbe kilichoongea Live na shetani
 
Habarini wanajamvi.

Katika pita pita zangu huko mtandaoni nikakutana na hili bandiko katika page ya mauki. Ni topic nyeti sana.....ambayo wengi tunaweza ona ni kawaida ila ni ukweli mzito.

Hebu tushare na kujadili hii hoja..........! View attachment 1397262

Sent using Jamii Forums mobile app
Hhhhhh

Nawahi siti kwanza

Ila hakuna uhalisia wowote hapo.

Suala kubwa ni malezi.

Na maamuzi ya binti.

Binti vile anavyoishi ns wewe basi ameathiriwa na mambo mawili yaani malezi na maamuzi yake.

Anaweza akawa amelelewa vizuri lskini akaamua aishi anavyotaka yeye.

Na anaweza akawa alilelewa vibaya mno lakini akaamua aishi vizuri na kwa heshima

Kinyume na haya mawili basi others are just an assumptions

Sent using Jamii Forums mobile app
Mbn ckuelewa unavochanganya mafaili.
Unakubali na unakataa..
 
Kuna ukwel sana katika hili.

Kwa research yangu ndogo. Wanawake wengi waliokuzwa na families mfano unakuta mzee hayuko na mama, au mzee anazingua zngua sana, au mama anamponda sana baba mbele ya watoto.

Hawajui majukumu yao vizuri kwa mwanaume. It's like hawana role model kwenye hilo. Zamani babu zetu walikua wanaenda kuchunguza FAMILIA unayoenda kuoa, pengine ilikua ni sababu.

Ukiangalia watoto wengi wa kike waliokuzwa kwenye mazingira wanaona baba na mama yao wapo pamoja mpaka wanazeeka, na baba ni mtu anajielewa. Kuna namna wapo ki wife material sana.

Jarbu kuchunguza wasichana wanaotoka kwenye families zisizo kuwa stable kdogo. Utaona hili.

Kuna ukwel ndani yake.

Lakini there's always an exception.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom