Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Nmesikitika sana leo asubuhi kutokana na ile mvua kunyesha wengi wamepata shida ya usafiri. Basi nikawa nmewasiliana na jamaa yangu ambaye bahati mbaya gari yake ilikuwa service. So nikawa...
41 Reactions
95 Replies
9K Views
Hamjambo humu ndani, wakubwa zangu shikamooni, wadogo zangu marahaba. Bila kupoteza wakati, ngoja nitiririke neno la usiku wa leo. Katika haya maisha, kila kitu kina hatua zake. Mfano...
9 Reactions
51 Replies
4K Views
Pamoja na kuwa si shabiki sana wa muziki wa taarabu, lakini le taarabu iliyoimbwa na Patricia Hillary inayojulikana kama Ewe Njiwa uwa inanigusa sana: Kama kuna mwenye kufahamu naweza kuipata...
0 Reactions
26 Replies
19K Views
Kwenye maisha kuna watu wanaweza kuwafanya wenzao kuumia kihisia sana, hivi inakuwaje MTU anakuwa anataka kuwasiliana na wewe ukimhitaji hataki anaruka Mita Mia, ukimkaushia anakasirika ukimwambia...
3 Reactions
54 Replies
4K Views
Mimi ni kijana wa miaka 27, Natafuta mchumba wa kike, awe mcha Mungu, Awe mwajibikaji, msafi na mwenye mapenzi ya kweli, awe tayari kuwa mke na kuwajibika kama mama ndani na nje ya familia. Umri...
2 Reactions
23 Replies
2K Views
Hi guys, Niwatakie maandalizi mema ya kuianza kesho maana baadhi yetu 'we do hate Mondays'.. Back to the topic, Hivi ni kwanini kuna muda unam crush mtu mpaka unatamani hata umuone kila sekunde...
55 Reactions
434 Replies
30K Views
Mambo vipi wapendwa wa love connect? Leo nimekuja na hoja moja inayotatiza kichwa change Huwa tunaambiwa kuwa wanaume ni wachache kuliko wanawake , tena wengine wanaenda mbali kusema kuwa ni kama...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Yaani baada ya ile kasheshe ya kupata kabinti ka miaka 15 ,wazee wenye busara wameonelea haipendezi kwa kuwa ni kafupi au kwa lugha sanifu ni kibete ila kimejazajaza kidogo ,sasa hawa wazee...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Nina wapenzi wawili wote nawapenda sana.Huyu wa kwanza ana mkia si haba na ndo ugonjwa wangu kwa kweli pia huwa na enjoy sana nikiwa nae karibu wa pili ni mwembamba haswaa na ni wife material...
0 Reactions
155 Replies
16K Views
Since I agreed to the assignment to write on this topic, I have been contemplating whether or not to speak the truth. Mind made up, I promise to speak the truth… so help me God. I have been a man...
2 Reactions
25 Replies
3K Views
Hivi jamani nafasi ya Baba kwenye familia ni nini?Kama mama anauwezo wa kuendesha familia bila kuhitaji mchango wangu?yaani mwanamke anajitegemea kwa kila kila kitu?usipotoa matumizi sawa utoe...
0 Reactions
4 Replies
856 Views
wakuu naomba tuiangalie hii kwa makini!!where we are we going with this?? ''BOFFINS are working on a “sex chip” that can be implanted into the brain to stimulate orgasms. Women will be able...
1 Reactions
19 Replies
4K Views
Leo nimeshuhudia namna laana inavyo tenguliwa kwa mtoto wa Kike, mfano mtoto wa kike kuna maneno yaliyo nenwa kwa ajili yake akiwa msichana mdogo au mkubwa lakini anapoolewa ndoa yake inakuwa na...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Wakuu naomba kuuliza kwa nia njema tu, Kwanini wanaume walio kauzu sana kwa wanaume wenzao, ni mabwege, dhaifu, maboya sana kwa wanawake?
2 Reactions
3 Replies
2K Views
Natumai hamjambo wakuu, Wakuu kwa nini wadada wenye matiti makubwa wengi hawana chura na miili yao ni shapeless tofauti na wadada wenye matiti madogo ambao wengi wao wanamaumbo mazuri na chura...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Amani iwe nanyi .... Naombeni ushauri . Nina mke wangu nikila chakula chake kitambi kinanitokea japo na jitahidi kufanya mazoezi, kunywa maji ya moto na limao na siku nyingine napiga mlo mmoja...
1 Reactions
5 Replies
884 Views
Kwa mtu anayejali, lazima atakuwa akipata vitu vinavyoweza kumsaidia katika maisha yake ya kimapenzi anayoishi.Tunajua changamoto nyingi zilizopo katika mambo yetu haya ya uhusiano. Mapenzi...
3 Reactions
16 Replies
9K Views
Ukimuuliza binti yeyote akutajie mambo 10 asiyopenda kusikia au kuyaona katika ndoa yake, mojawapo litakuwa ni ugomvi. Ugomvi unaumiza, kiakili na kimwili. Ugomvi si ustaarabu, zaidi sana ugomvi...
15 Reactions
62 Replies
18K Views
Wakuu sababu kubwa huwa ni nini mpaka mume au mke anaamua kumsaliti mtu wake wa ndoa na kwenda nje ya ndoa yake? ( almaarufu kama kuchepuka). Tatizo ni kutoridhika na yule aliyemuoa au kuolewa nae...
10 Reactions
275 Replies
25K Views
Wakuu napenda kuuliza Mfano uko na mpenzi wako kwa muda na katika muda huo haujawahi kumfikisha kileleni na kumkaza unamkaza vizuri tu ni ujanja gani unashauriwa kufanya ili kumfikisha? Naombeni...
5 Reactions
247 Replies
28K Views
Back
Top Bottom