Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Hello wanajukwaa, Mimi ni mwanamke wa miaka 31 Nina mtoto mmoja Ni mkristo Nimeajiriwa Najitokeza kuweka tangazo la kuhitaji mume aliye na utayari. Awe mkristo Awe na miaka 33 -40 Awe na kazi...
10 Reactions
35 Replies
4K Views
Katika pitapita zangu huko mkoani nnje ya Dar, nimeshuhudia wanawake wazuri sana halafu hawana tamaa kabisa kama hawa wa kwetu wa hapa mjini. Nakumbuka katika week3 zile nilizokaa kule mkoani...
12 Reactions
54 Replies
4K Views
Wakubwa shikamooni? Wadogo zangu marahabaaaa. Direct to the point : kuna binti Nina mahusiano nae h7 mwaka wa pili sasa tulikutana alipokuja dar kusalimia dadake ambaye alikuwa jirani yangu...
0 Reactions
33 Replies
3K Views
Hii itaturahisishia kazi, unaeza ukamzamia mwanamke PM ukidhani ni pini kutokana na avatar yake kumbe ni Tinginya. Na unaweza ukaona mwanamke kaweka lipicha libayaaa kumbe yeye ni pini balaaa...
12 Reactions
156 Replies
9K Views
Kuna mwanamke mmoja ana umbo moja matata, pia ni mzuri wa sura. Huyu demu nimekuwa nikimfukuzia kwa muda mrefu bila mafanikio. Kuna kipindi kama mwaka mmoja umepita nilimtumia nauli ili aje...
8 Reactions
65 Replies
8K Views
Habari zenu wana MMU, Nina mpenzi wangu tena alianza kunipenda mwenyewe mimi nikajaa. Huyu mwanamke kiukweli ni mtumishi mwenzangu na baada ya kuanzisha mahusiano naye nikipita kwake atanihudumia...
5 Reactions
48 Replies
6K Views
Ijumaa niliamua nikaunguze wallet maeneo ya The great pale barakuda. Bahati mbaya siku hiyo sikua na kampani hivyo nikajipanga kupata mlimbwende mmoja ambaye nitamlisha, nitamnywesha na nitaenda...
16 Reactions
109 Replies
52K Views
Leo nimerudi nyumbani nikajisahau nikaingia ndani sijanawa,dogo kuniona kaja speed mia kunihug .nimepata adhabu ya kukimbizana nae nyumba nzima kumkwepa.nikaona Bora nije niwakumbushe wenzangu...
0 Reactions
0 Replies
568 Views
Nimechoka na huu upuuzi wa msichana eti anakupigia anakuja eti umchukulie msosi kabisa. Kwani nimejaza gesi na friji limejaa nyama na mboga za majani ili apike nani? Kuna kiroba cha mchele na...
4 Reactions
38 Replies
3K Views
Yasinta Josephat 9 hrs · ‎Enock Tz‎ to SHILAWADU EXCLUSIVE by hamzaj4 Yesterday at 1:44 PM Kuhani Mwana WA LawiFollow June 3, 2017 Ni asubuhi moja hivi jamaa anaondoka kwenda kazini...
2 Reactions
7 Replies
5K Views
Heshima kwenu ndugu zangu. Naomba muda wenu na mawazo yenu nipate ABCs za kuzingatia katika hili suala, limenikaa hapa nami sikuliwazua kwa upana wake kabla ya kuamua.... nitaelezea kwa uchache...
31 Reactions
234 Replies
21K Views
Wana JF natafuta nyimbo nzuri za mapenzi,ziwe cool,za kubembeleza pia zisiwe za kibongo.Kwa anayejua anambie ili nizitafute
0 Reactions
60 Replies
70K Views
Siku moja nilikuwa katika ofisi fulani nataka kufanya kazi, kabla sijaanza ile kazi, dada moja wa office ile akaniambia kwamba anayetumia office hiyo ni muadhirika wa UKIMWI, angalia vizuri sana...
1 Reactions
144 Replies
42K Views
Siyo uongo kuwa sisi mababa tunapenda sana watoto wa kike kuliko wa kiume, mtoto wa kiume atapendana na mama yake ila changamoto kubwa inakuja ni kwamba tunakosa Uhuru wa kuonyesha mapenzi ya...
13 Reactions
58 Replies
7K Views
Hawa watu bhana hata wakifika kileleni hawaridhiki kabisa,wanachotaka ni pesa tu kweli tutafute pesa. Nimejitahidi sana niwapo kwenye gemu, kutumia tekniki zote nilizofundishwa na ulimwengu ili...
9 Reactions
44 Replies
5K Views
Kusema ukweli; Mitihani mingine hii ni majaribu! (LAKINI SIYO KWA WOTE BUT MOSTLY HUTOKEA) Mtu anaweza komaa miaka kadhaa kutafta mpenzi wa maana kwa taabu sana lakini punde tu akishaoa au...
14 Reactions
84 Replies
8K Views
Wanajamvi habari zenu. Twiga Stars wananiganda, najibandua naangukia kwao tena. Nataka veteran mwenzangu (24+) Naombeni ushauri, Mimi ni kijana wa umri uliokomaa kuoa sasa hivyo nataka...
0 Reactions
25 Replies
3K Views
Wapendwa kwema, Naombeni mnitajie jina la kiume la kinyakyusa linalofaa kumpa mtoto wa kiume... Asanteni. am better here
1 Reactions
22 Replies
7K Views
TRA nina demu, TISS nina demu, Polisi nina demu, Jeshini ( TPDF ) nina demu, BOT nina demu, CRDB nina mademu, NMB nina mademu, Uhamiaji nina demu, Mamlaka ya Bandari nina demu, EWURA nina demu...
5 Reactions
95 Replies
7K Views
Habari JF Kuna binti niko naye kwenye mahusiano kwa kipindi kama cha miezi 3 Sasa kiukweli mimi nampatia vitu baadhi ambavyo viko katika ndani ya uwezo wangu takribani kama wiki 8 hivi. Sasa...
1 Reactions
26 Replies
4K Views
Back
Top Bottom