Nafasi ya Baba kwenye familia

Nafasi ya Baba kwenye familia

bukoba boy

JF-Expert Member
Joined
Jan 15, 2015
Posts
5,376
Reaction score
3,977
Hivi jamani nafasi ya Baba kwenye familia ni nini?Kama mama anauwezo wa kuendesha familia bila kuhitaji mchango wangu?yaani mwanamke anajitegemea kwa kila kila kitu?usipotoa matumizi sawa utoe sawa tu,we unakubali kua na mwanamke wa aina hii?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sikubali! Sababu utaniuliza siku korona ikiisha.
 
Kwann na ww usitoe matumizi kama hautaki mwanamke wa aina hio
 
Back
Top Bottom