Sokoinejuniour
Member
- Aug 11, 2018
- 19
- 13
Wakuu naomba kuuliza kwa nia njema tu, Kwanini wanaume walio kauzu sana kwa wanaume wenzao, ni mabwege, dhaifu, maboya sana kwa wanawake?
Umeongea point kubwa sana hapa japo sijaelewa kitu.[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Sababu elasticity of unique ceteris peribus inakua kwny high zone ambapo kufanya imitation itakua labda kwa probability ya 80% success na makauzu mostly itakua granted kwa special offer na guarantee itakua kwa kitonga au kwa lieu.