Nahitaji attention yako Ila sio wewe

Nahitaji attention yako Ila sio wewe

Manifestation

Senior Member
Joined
Jan 22, 2020
Posts
193
Reaction score
323
Kwenye maisha kuna watu wanaweza kuwafanya wenzao kuumia kihisia sana, hivi inakuwaje MTU anakuwa anataka kuwasiliana na wewe ukimhitaji hataki anaruka Mita Mia, ukimkaushia anakasirika ukimwambia Mimi siwezi kuwa rafiki yako haelewi, ukimleta karibu kwa ajili ya kuweza kufanya Mambo ya kikubwa anaruka, anatamani ofa zako umtoe out, umnunulie kitu kizuri, umtafute mara Kwa mara, ukikata mawasiliano anakufuatilia kupitia rafiki zako
 
Pengine inawezekana namna unavyomuanza kwenda kufanya hayo mambo ya kikubwa pia ni tatizo
 
Kupigia Magot k ndo sijawahi wezaga yalishanishinda, yeye anatakiwa aelewe Tu lugha yangu, MTU mzima hatakiwi kuzungushwa sana Mambo ni mengi,

Wee jamaa acha ego zakiijinga... Papucbi haisuswi... Piga goti akupe papuchi. Ukishamgegeda yeye sasa ndio utakuwa unampigisha magoti everytime anachezea mvegedo wako mdomoni mwake.
 
Eti piga goti, ndo unafanyaga hivyo mzee
 
Kwenye maisha kuna watu wanaweza kuwafanya wenzao kuumia kihisia sana, hivi inakuwaje MTU anakuwa anataka kuwasiliana na wewe ukimhitaji hataki anaruka Mita Mia, ukimkaushia anakasirika ukimwambia Mimi siwezi kuwa rafiki yako haelewi, ukimleta karibu kwa ajili ya kuweza kufanya Mambo ya kikubwa anaruka, anatamani ofa zako umtoe out, umnunulie kitu kizuri, umtafute mara Kwa mara, ukikata mawasiliano anakufuatilia kupitia rafiki zako
That is me

Kuna binti mmoja anataka tuwe marafiki na tuwe na mawasiliano ya karibu lakini hayupo tayari tuwe wapenzi

Sijui ndio mambo ya friendzone hayo
 
Wee utapigaje daily sasa.... Jinsi ilivyo unapiga magoti kumgegeda mara ya kwanza baanda ya hapo yeye ndio anapiga magoti.
Hiyo dailee namaanisha kila ukihitaji...So kama umemkubali sana kila ukihitaji unapiga magoti sio.
 
Back
Top Bottom