Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Yaani haya mapenzi ni ya ajabu sana, kuna mtu nampenda sana ..kwakuwa anajua nampenda basi ndiyo ananinyanyasa kweli.. Nimekuwa mtu wa kulia tu... Jana nimemkuta na msichana mwngine tena...
26 Reactions
350 Replies
44K Views
Wakuu i hope mnaendelea kuchukua tahadhari juu ya kujinga na Corona. Mwenyezi Mungu atunusuru na hili janga. Inshallah!! Back to the mada. Jana mishale ya saa 2 usiku, nikiwa natoka kupata...
12 Reactions
31 Replies
4K Views
Habari wanaJF? Mi mwenzenu mzima wa afya ila kikohozi kwa mbali na mafua yananisumbua ila hii sio korona maana sio kila homa, kikohozi na mafua ni korona. Bila kupoteza wakati niende moja kwa moja...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
He is in his 35-50 yrs.... Ana mtoto mmoja angekua na wengi kwa mama mmoja ni sign anapenda watoto Watoto wakiwa kwa mababy mama tofauti hapo majanga... Ukiona ana umri huo na ana mtoto mmoja...
10 Reactions
54 Replies
6K Views
Habari wanajamvi, naombeni tumshauri huyu mwenzetu, kanisimulia mkasa wake mimi kama rafiki yake wa karibu sana. Ila nimeona nishare nanyi ili tupate mawazo murua. Nitasimama katika huu uzi kwa...
22 Reactions
388 Replies
40K Views
Umuofia kwenu wakuu. Ukiacha corona kuna hili balaa la level seats, mnakaa kituoni kila daladala ikija konda anaita mmoja au wawili kulingana na walioshuka. Basi ile kukaa sana unapata muda wa...
4 Reactions
15 Replies
4K Views
Amani iwe kwenu. Kwanza kabisa ilaaniwe JF kwa kunivurugia mtazamo wangu juu ya ndoa, nimekua nikiamini ndoa ni kitu chema na hatua muhimu kuelekea mafanikio kimaisha. Ila tangu nijiunge na...
6 Reactions
95 Replies
8K Views
Wana JF, nimetoa uzi huu maksudi ila walengwa na wahusika ndio wa comment au DM, Nahitaji mke mrefu au saizi ya kati ila achague anayeona anafaa kuwa mke mwenza na wanaweza wakaishi wote kwa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
True story Kuna mdada ameniliza leo . Tuanze kazi anapata ni kazi nzuri sana halafu kwa kila kazi anayopata anatolewa baada ya miezi miwili. Napia watu wapale hata kama hawamchukii lazima kuwe na...
1 Reactions
4 Replies
886 Views
Kuna Vitu ambavyo hufanyika wakati mwingine na kukufanya hata uumwe na kichwa kwa sababu huwezi kuelewa mbona vinafanyika na kwa nini wahusika wana ujasiri wa kufanya vitendo kama hivyo . Sio...
2 Reactions
20 Replies
3K Views
*MAHUSIANO YA KIZUNGU* Siku ya 1[emoji1314] unatongoza [emoji7] Siku ya 2[emoji1314] mahusiano [emoji131] Siku ya 3[emoji1314] unamkumbatia [emoji127] Siku ya 4[emoji1314] unambusu [emoji8] Siku...
4 Reactions
19 Replies
2K Views
Mimi mwehu ndama kijana wa Kitanzania nasema zawadi kubwa kuliko zote na yenye thamani ambayo mwanaume anaweza kumpatia mwanamke ni mimba.. Mwanamke anapopachikwa, namaanisha kupewa ama...
2 Reactions
20 Replies
5K Views
baada ya kitambo kidogo kupita bila uchakataji wa maana Zero nikajisemea kwa sasa kweli nimekua maana mawazo yangu kwa kiasi kikubwa yalikuwa yanawaza maisha zaidi, Ni vipi nitatoboa nipate pesa...
8 Reactions
16 Replies
5K Views
Kwa mara ya kwanza nmenunua penzi, yaani nmelala na malaya, nina hali ngumu, visenti nilivyo navyo vinanifanya nipoteze mwelekeo. sina mpenzi wa kuamnika. nawaza kuoa. napoteza. naloose...
11 Reactions
82 Replies
11K Views
Usifunge ndoa kwa msukumo, owa kama umejiandaa, sasa kama ulikuwa na mchumba wako na mlipanga kufunga ndoa owa sasa yaani hamna garama, maswali ya kufikiria sherehe kwa sasa hamna ukiowa unaenda...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Niliwahi kukutana na uzi matata miaka kadhaa nyuma ambao ulikuwa unahusu jinsi ya kufanya mapenzi ndotoni lakini nimejaribu kuutafuta uzi huo tena na sijafanikiwa kuupata. Kusema kweli nilijaribu...
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Mkeo ni Asali na Mchepuko ni Sukari. Hebu angalia mkeo alivyo mtamu, na mchepuko alivyo hasara. 1. Asali inatengenezwa kwa Hali ya uasili lakini sukari inatengenezwa kwa akili ya mwanadamu...
2 Reactions
9 Replies
2K Views
Mnamo mwaka 2015....nilipata mchumba mzuri ambaye tulipendana sana. alinipa nitakacho na nilimpa atakacho pia. kipindi nampata huyu mwanamke nilikuwa kwenye hali ngumu sana ya uchumi. alinivumilia...
7 Reactions
136 Replies
11K Views
Kuna demu hapa kitaani kwetu ilikuwaga ni mgeni Siku moja alikuwa anatoka sokoni nikawa nimemuvizia ili nimuombe namba za simu Demu ilinipa namba za simu tukawa tunawasiliana vizuri tu Ikafikia...
17 Reactions
67 Replies
9K Views
Back
Top Bottom