Ewe Njiwa, Ewe Njiwa - Peleka Salamu

Baba_Enock

JF-Expert Member
Aug 21, 2008
7,076
2,445
Pamoja na kuwa si shabiki sana wa muziki wa taarabu, lakini le taarabu iliyoimbwa na Patricia Hillary inayojulikana kama Ewe Njiwa uwa inanigusa sana:

Kama kuna mwenye kufahamu naweza kuipata wapi naomba msaada
 
Njiwa peleka salamu, kwa yule wangu muhibu X2
Ukifikaa muelezeee kwamba nnapata tabu

Ukifika tafadhalii, ah sema naye taratibuX2
Usiseme kwa ukaliii, mambo ukayaharibu
Kamwambie sina halii, ah ni yeye wa kunitibu

Ewe njiwa ewe njiwaa, peleka salamu
ah kwa yule kwa yule, wangu muhibuX 2

Kwa kweli ule wimbo ah....... sio taarabu za siku hizi uwizi mtupuuu!!
mwenye kuujua jamani atuelekeze lokesheni yake.
 
...aaah, mashaallah...mwj'1 wa mwambao nini wewe? LOL! am impressed.
 
Ule wimbo umetulia na ujumbe wake ni mzuri, tofauti na taarabu hizi za siku hizi.
 
mimi ni mwimbaji mzuri wa taarabu......hii safi sana naikubali
 
Ule wimbo umetulia na ujumbe wake ni mzuri, tofauti na taarabu hizi za siku hizi.

...kwakweli, hizi za "...aramba, aramba tena aaaaaammm!" wala sizielewi maudhui yake.
 
jifaidie hapo .......:)
 
Last edited by a moderator:
Njiwa peleka salamu, kwa yule wangu muhibu X2
Ukifikaa muelezeee kwamba nnapata tabu

Ukifika tafadhalii, ah sema naye taratibuX2
Usiseme kwa ukaliii, mambo ukayaharibu
Kamwambie sina halii, ah ni yeye wa kunitibu

Ewe njiwa ewe njiwaa, peleka salamu
ah kwa yule kwa yule, wangu muhibuX 2

Kwa kweli ule wimbo ah....... sio taarabu za siku hizi uwizi mtupuuu!!
mwenye kuujua jamani atuelekeze lokesheni yake.

MJ1 - You made my Weekend! Almost I shed tears - Hii taarab huwa inanipeleka mbali sana - those good days
 
...aaah, mashaallah...mwj'1 wa mwambao nini wewe? LOL! am impressed.

Mbu we acha tu .........afu umpate bidada mwenye sauti mashallahw. afanya kukuimbia taratibu huku akikuchezea nywele kichwani kwa vidole vyake laiiiiini. Ah unasinzia kabla hata hajafika chorus. Mwambao mh.........
 
Pamoja na kuwa si shabiki sana wa muziki wa taarabu, lakini le taarabu iliyoimbwa na Patricia Hillary inayojulikana kama Ewe Njiwa uwa inanigusa sana:

Kama kuna mwenye kufahamu naweza kuipata wapi naomba msaada

Jaribu you tube
 
Njiwa peleka salamu, kwa yule wangu muhibu X2
Ukifikaa muelezeee kwamba nnapata tabu

Ukifika tafadhalii, ah sema naye taratibuX2
Usiseme kwa ukaliii, mambo ukayaharibu
Kamwambie sina halii, ah ni yeye wa kunitibu

Ewe njiwa ewe njiwaa, peleka salamu
ah kwa yule kwa yule, wangu muhibuX 2

Kwa kweli ule wimbo ah....... sio taarabu za siku hizi uwizi mtupuuu!!
mwenye kuujua jamani atuelekeze lokesheni yake.

Hivi mwanajamii wa ukweli unakaa mitaa gani vile?:A S 39: Naweza pita huko kuomba uniimbie nyimbo za taarabu:violin:
 
Mbu we acha tu .........afu umpate bidada mwenye sauti mashallahw. afanya kukuimbia taratibu huku akikuchezea nywele kichwani kwa vidole vyake laiiiiini. Ah unasinzia kabla hata hajafika chorus. Mwambao mh.........

kweli MJ1 inaonekana jinsi gani wapenda kubembelezwa weye.......
 
2my weee nyanja hii yataka raha ati..... ukibembeleza shurti nawe ubembelezwe ati sio kila siku wabembeleza weye tu ukimaliza mifundi yoooote kisha waambuliwa aksante tu.... tena kaaaavu ka ya afande ASANTE!!! Hata haipendezi bana.
 
Hivi mwanajamii wa ukweli unakaa mitaa gani vile?:A S 39: Naweza pita huko kuomba uniimbie nyimbo za taarabu:violin:

Mh........... Tandale kwa Tumbo ukifika kwa mwenyekiti wa Mtaa ulizia kwa mama Hambiliki. Utanpata mfalme
 
.....na i vip?
tx mpenziiii dokta wangu wazaman.....aya ayaaaaaaa ayaaaaaaaaaa
anipasuaaa........nini sjui.....
 
hahaha rose umemkumbuka tx?! lol

ngoja nikusaidie mstari mmoja ....:p

tx mpenzi dokta wangu zamani
ananipasua tenzi kapasi ujerumani
 
hahaha rose umemkumbuka tx?! lol

ngoja nikusaidie mstari mmoja ....:p

tx mpenzi dokta wangu zamani
ananipasua tenzi kapasi ujerumani
ayaaaa ayaaaaaaaaa ayaaaaaaaaaa!!
teksi nipasueeeeeeeee!!!!!!!!!!
 
Njiwa peleka salamuu, oh kwa yule wangu muhibu, x2
Umweleze afahamu, kwamba nnapata taabu x2
hali yangu mahamumu, oh maradhi yamenisibu, x2

Ewe njiwa x2
peleka salamu
kwa yule x2
wangu muhibu

Usiku kucha nakeshaa, oh na yeye ndiye sababu x2
Iwapo hadi maisha itamffika aibu x2
pendo langu halijesha, oh ndilo linaniharibu x2

ewe njiwa.....

Njiwa usihadaike, oh nenda ulete majibu
nenda upe- si ufi-ke , mkimbilie swahibu x2
mbele yake utamke oh ni yeye wa kunitibu x2

Ewe njiwa .......

ukifika tafadahli oh sema naye taratibu
ukisema kwa ukali, mambo utayaharibu
kamwambie sina hali oh kufariki si ajabu

Ewe njiwa...
 
Back
Top Bottom