Nikiwa nae kitambi kinanitoka hata nisipo kula

jjs2017

JF-Expert Member
May 25, 2019
2,023
4,213
Amani iwe nanyi ....

Naombeni ushauri . Nina mke wangu nikila chakula chake kitambi kinanitokea japo na jitahidi kufanya mazoezi, kunywa maji ya moto na limao na siku nyingine napiga mlo mmoja kwa siku na ikiwezekana sili kabisa ila hali bado ni mbaya sana.. kwani kitambi bado kinanitokea ..

Ila cha kushangaza nikiwa mbali na yeye kikazi kwa muda wa miezi kadhaa kitambi kinaanza kupotea ..
Naombeni ushauri wenu nifanye nini ku kwepa hili tatizo ndugu zangu

ciproflaxin
 
Kwanza wewe ni mgeni kwenye mahusiano sio veteran yaani unahamu kinoma,sasa ukiwakaribu na yeye hauwezi kubanduka kirahisi yaani muda mwingi unakuwanaye,sokoni,uwanjani,kwa marafiki nk.Kwa mfano asubuhi ukiwapekeyako unaamka saa kumi na moja,ukiwa na shemeji yetu muda huo wa asubuhi unasema ngoja nimkumbatie hivyo unashangaa hufanyi mazoezi mwezi mzima kwa sababu unahamu na yeye ,pia hata shemeji na yeye ukimwambia unakwenda mazoezini atakuambia usiende tuendelee tu baba utafanya kesho ,hivyo nakushauri mkae wote pamoja hizo hali unazosema zitakwisha zenyewe kwani baadae shemeji yetu atukuhimiza mwenyewe .
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom