Orgasm 'n' chips | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Orgasm 'n' chips

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Bladerunner, Dec 22, 2008.

 1. Bladerunner

  Bladerunner Member

  #1
  Dec 22, 2008
  Joined: Dec 19, 2008
  Messages: 93
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  wakuu naomba tuiangalie hii kwa makini!!where we are we going with this??

  ''BOFFINS are working on a “sex chip” that can be implanted into the brain to stimulate orgasms.

  Women will be able to control it with a hand-held transmitter - enabling them to literally turn themselves “on”.


  Neurosurgery professor Tipu Aziz, of John Radcliffe Hospital in Oxford, said: “There is evidence it will work. A woman with low sex drive was turned into a very sexually active woman.”


  But he warned it could be ten years before the high-tech female answer to Viagra is available.''
  source:The Sun monday 22nd dec 2008.

  ''Orgasmatron machine ???''Mmhhm interesting!!!
   
 2. Bladerunner

  Bladerunner Member

  #2
  Dec 22, 2008
  Joined: Dec 19, 2008
  Messages: 93
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  why in the world would you do that??
   
 3. Shishi

  Shishi JF-Expert Member

  #3
  Dec 22, 2008
  Joined: Feb 11, 2008
  Messages: 1,244
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135


  :Dhaya twende kazi, yapatikana wapi hii, I could volunteer to be a guinea pig.....lmbao

  at first thought ni viazi aka fries... ahahhahahahahaha:rolleyes:
   
 4. Mtaalam

  Mtaalam JF-Expert Member

  #4
  Dec 22, 2008
  Joined: Oct 1, 2007
  Messages: 1,278
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 145
  i have read abt this new scientific thing...whereby accordin to them wale wote wenye matatizo ya nonihiiinooo nw wont even be in need of viagra...this thing wil do the work for them
   
 5. Kibunango

  Kibunango JF-Expert Member

  #5
  Dec 22, 2008
  Joined: Aug 29, 2006
  Messages: 7,635
  Likes Received: 180
  Trophy Points: 160
  Safi sana....!
   
 6. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #6
  Dec 22, 2008
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Safi nini? Unataka uwekewe huyi chip?
   
 7. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #7
  Dec 22, 2008
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,520
  Likes Received: 81,886
  Trophy Points: 280
  Hawa wazungu wakati mwingine ni wajinga sana. Hivi kwanini vitu visiachwe vikafanyika natural!? :confused:

  Wamefakamia majunk food sasa kila mtu ni obese, kuondoa tatizo kila mtu anataka kufanya operesheni ili kupunguza mfuko wa kuhifadhi chakula ili kupunguza intake ya chakula badala ya kufanya mazoezi kupunguza excess weight, wanazeeka basi wanapiga sindano usoni inaitwa botox nasikia uso unakuwa kama umepaka cement maana unakuwa hauko flexible kabisa. Nasikia pia wametengeza kidonge cha akina mama ambacho kinaweza kuondoa MP kwa miezi hata mitatu au minne kama mwanamama anaona ni udhia.
   
 8. Mtaalam

  Mtaalam JF-Expert Member

  #8
  Dec 22, 2008
  Joined: Oct 1, 2007
  Messages: 1,278
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 145
  mweee yarabi tobaaaa!!!

  na Mbaaaado!!

  i think zile siku ndio zinakaribia kwa kweli!looh!
   
 9. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #9
  Dec 22, 2008
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,520
  Likes Received: 81,886
  Trophy Points: 280
  :confused::confused: Astaghafirulaa...ukistaajabu ya Mussa....
   
 10. Kibunango

  Kibunango JF-Expert Member

  #10
  Dec 23, 2008
  Joined: Aug 29, 2006
  Messages: 7,635
  Likes Received: 180
  Trophy Points: 160
  Wacha hizo... Si kuna dada mmoja hapa JF anadai hajawahi kupata orgasm...Sasa huoni kuwa ni habari njema kwake?
   
 11. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #11
  Dec 23, 2008
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Yupi huyo? Mi nimemsahau jina......
   
 12. Kibunango

  Kibunango JF-Expert Member

  #12
  Dec 23, 2008
  Joined: Aug 29, 2006
  Messages: 7,635
  Likes Received: 180
  Trophy Points: 160
  Jina lake Lorain.. Na bandiko lake lipo kule XXX room, jamaa kibao wamechangia... lakini sasa atapata kile roho inapenda...
   
 13. A

  Aunty Lao JF-Expert Member

  #13
  Dec 23, 2008
  Joined: Jul 7, 2008
  Messages: 215
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Eheee, ndo mimi lorain haya niambie hiyo good news mambo ndo yanakuwaje hapa. Kimombo kidogo hakijaenda sana cha kuombea maji ninacho. Haya fafanua sasa mjomba.
   
 14. k

  keff Member

  #14
  Dec 23, 2008
  Joined: Dec 6, 2008
  Messages: 35
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  wazungu ni wavivu kila wanataka mashine iwafanyie kazi
   
 15. k

  keff Member

  #15
  Dec 23, 2008
  Joined: Dec 6, 2008
  Messages: 35
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  wazungu ni wavivu kila kitu wanatka mashine iwafanyie
   
 16. R

  Rwabugiri JF-Expert Member

  #16
  Jan 14, 2009
  Joined: Jul 10, 2007
  Messages: 2,777
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  kwikwi... inaukwelimwingi hiyo!
   
 17. Bazazi

  Bazazi JF-Expert Member

  #17
  Jan 14, 2009
  Joined: Aug 18, 2008
  Messages: 2,025
  Likes Received: 545
  Trophy Points: 280
  Lorain kweli unahitaji manmade penis or other stimulants or ur just faking us. Mbona unaifurahia sana hiyo taarifa ya machine ya ORGASM?
   
 18. Zogwale

  Zogwale JF-Expert Member

  #18
  Jan 14, 2009
  Joined: Jul 10, 2008
  Messages: 11,613
  Likes Received: 825
  Trophy Points: 280
  Hakuna haja ya artificials!!!! Natural hamziwezi jamani???? Au wanaume mko wapi hadi wenzi wakose uhondo??? Acheni uvivu!!!! Artificials zina madhara yake jamani!!!! Acheni kuwa maboga ndani ya bustani, shughulikeni kama vicheche!!!!!
   
 19. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #19
  Jan 14, 2009
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,297
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Tubuni na kumrudia mungu kwa maana yanakaribia kutimia yaliyonenwa na manabii
   
Loading...