Nichague yupi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nichague yupi

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Mwiba, Mar 25, 2009.

 1. Mwiba

  Mwiba JF-Expert Member

  #1
  Mar 25, 2009
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 7,606
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 160
  Yaani baada ya ile kasheshe ya kupata kabinti ka miaka 15 ,wazee wenye busara wameonelea haipendezi kwa kuwa ni kafupi au kwa lugha sanifu ni kibete ila kimejazajaza kidogo ,sasa hawa wazee wamenishauri nitafute kajana jike kalicho chongoka kidogo au yaani awe amepanda juu japo asinifikie urefu wangu.
  Nimeonelea mbali ya busara zao bora kwanza nirudi hapa kijiweni ili tupeane ushauri wa kasi mpya ,unajua kuna mambo kibao mkiwa vimo vyenu ni tofauti basi inabidi kuvunjika mgongo kwa kufuatilia shavu ,na kusabusha vioja katika mambo ya madenda.

  Najua hapa nimefika kwa wataalamu wenye ushauri wa kielimu japo experiansee inatosha , sasa wakongwe mnasemaje tunapolifikisha suala la wapendanao na kuzingatia vimo.
   
 2. Violet

  Violet Member

  #2
  Mar 25, 2009
  Joined: Nov 17, 2008
  Messages: 99
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mbali ya urefu / ufupi, wembamba /unene jamani kuna quality zingine walizokushauri uzifwatilie, maana relationship/ ndoa is more than that
   
 3. Timtim

  Timtim JF-Expert Member

  #3
  Mar 25, 2009
  Joined: Feb 9, 2008
  Messages: 603
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 45
  Tizama mwenye kufungamana na Dini, huyo ni bora kuliko wote.
   
 4. Icadon

  Icadon JF-Expert Member

  #4
  Mar 26, 2009
  Joined: Mar 21, 2007
  Messages: 3,589
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 0
  Kesi hiyo.
   
 5. Pretty

  Pretty JF-Expert Member

  #5
  Mar 26, 2009
  Joined: Mar 19, 2009
  Messages: 2,582
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 135
  Ila ni vizuri kama watu mkioana msipitashe sana vimo. Muwe vimo vyenu sawa au inapendeza mwanaume amzidi kidogo mwanamke.
   
 6. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #6
  Mar 26, 2009
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Aah, baba Mwiba naona unaendeleza ile mada yako. Sasa mbona hapo awali ulianzia mbali ohh sijui nina rafiki sijui anataka kuoa sijui blah blah..kumbe muhusika ni weye menyewe..Bua ha ha ha..

  Mindhali umamua kuja jamvini kuomba msaada wa wazee wa jamvi,sisi hatuna khiyana. Ushauri hapo ni chagua mke ambaye anamcha Mola, lakini awe anakuvutia vilevile. Mambo ya kimo ni secondary kidogo, lakini unaweza ukayapa kipaumbele kama yamo kwenye selection criteria zako.

  By the way ka-fiftini yuro kameanza shule? Maana mwezi Machi hivi sasa..Nakupongeza kwa kukaacha hako katoto kapate nuru ya akili yake.

  Masalama.
   
 7. J

  Joyceline JF-Expert Member

  #7
  Mar 26, 2009
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 1,010
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Huo wasifu wa nje siyo wa muhimu sana, cha kuangalia ni mapenzi kama yapo na mtu mtakayeelewana, ndoa si mchezo unatakiwa uwe makini sana katika kuchagua
   
 8. Mwiba

  Mwiba JF-Expert Member

  #8
  Mar 26, 2009
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 7,606
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 160
  Amna chochote naona mnatisha ile mbaya ,naona kila mtu anasema ndoa si mchezo kwani nani aliwambia kuwa ni mchezo ,nyie vipi,yaani vitisho vyenu alimasula niludi kwenye nyama za kupima badala ya kununua ng'ombe mzima na kumfuga ila nimekutata na kabitozi kamoja hako na kuniambia kuwa nisiwe na woga wowote ,eti yeye kama angejua urahisi wa kuwa ndani ya ndoa basi abgelioa angali na miaka kumina nane tu,lakini vitisho vya watu wasiokuwa na maadili vilimponza ,na hivi sasa watoto wake wote watatu amewapa wake mmoja alipotimia miaka kumi na nane mmoja 20 na wakike amemwozesha akiwa na miaka 22.

  Sasa natumai vijike vifupi ni mchoko ,maana nasikia ni wabishi ile mbaya ,na ndio kawaida ya watu wafupi sasa akiwa mwanamke ndio balaa.
   
 9. Belo

  Belo JF-Expert Member

  #9
  Mar 26, 2009
  Joined: Jun 11, 2007
  Messages: 11,280
  Likes Received: 4,283
  Trophy Points: 280
  Kwani wewe ni mfupi au mrefu?
   
 10. Mwiba

  Mwiba JF-Expert Member

  #10
  Mar 26, 2009
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 7,606
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 160
  Mrefu labda kama Mh.Warioba ,kuna kipindi walikuwa wakiniita warioba si unajua wabongo kwa kuitana majina ya kubambikiza ,wengine wakiitwa Kajole basi kwa kuwa tu mtu anacheza beki na kuchanganyisha na faulu za kuzoazoa au vibuyu.
   
Loading...